Kwahiyo ulimkula mgonjwa wako?Nakushauri kupitia kisa hiki.
Mwezi wa kwanza mwaka Huu nikiwa kazin, alikuja Mwanadada mrefu mweupe amejaa vizur .
Ni aliyekua kajawa mawazo ,wasiwasi, ni MTU alojaribu kuficha anachopitia lkn Sura, macho na sauti yake vilidhihirisha wazi kua anapitia jambo gumu.
Ipo hivi Kwa miaka minne ya Ndoa yake, hakuwah kupata mimba,, mwaka Jana Mumewe akaanzisha Uhusiano wa kingono na Bishosti wa Mwanadada huyu, bila kujali ni mashosti wanaofanya kazi taasisi Moja .
Mwanadada huyu akaamua nayeye kuacha kugongana na Mumewe
Kule kazin , Shosti anampiga vijembee, Mara Γ³hooo wee Mayai yako umelia chips, Mara ohoo umetoa mimba Sanaa, so acha wenye Mayai tumzalie bwanaaa.
Akirudi nyumban , Bwana anataka K, Bidada anagoma, Bwana anatoa kipigo .
Maisha yake yakawa hivo...
Lkn kwann alimnyima mzigo? Alimnyima Kwa sababu BWANA HAKUA TAYARI KUPIMA .
Na Mwanadada hakutaka kugongana naye kwakua Mumewe anatoka na Shosti yake na hajui hali ya Afya ya Shosti yake.
Kwa ufupi alikua anaomba ushauri nini afanye .. NAMIMI NILIMWAMBIA HATAKI KUPIMA, USIMPE MZIGO.
Basi mwezi wa Saba hapo majuzi, Mumewe akakubali kupima .
Mwanadada alikua anajiamin kwakua keshaoima Mara Kadhaa.
Asalaleeeee, kupimaaa , Bwana akasoma ana ngoma...Mwanadada Hana.
Bwana haamini, wakaenda hospital nyingine , kupima BWANA ANA NGOMA, Mwanadada Hana.
Wakarudi Home, wakaachana siku hiyo hiyo .... Kumbe yule Shosti wa Mwanadada, alikua na ngoma, hivo kamuambukiza Mume wa Mwanadada
Imepita miezi Kadhaa, Jana Mwanadada ananitafutaa Tena na kunipa tukio zima.
Sasa Mwanadada anafunguka kwangu zaidi, ananiambia Toka alipokataa kugongana na Mumewe mpaka wanaachana ni muda mrefu nayeye hajasex , na Kwa Sasa yuko free, anauliza nimsaidieje??.
UKIONA MWANAUME AU MWANAMKE HAPENDI KONDOM NA HAPOHAPO HATAKI KUPIMA, SIJUI OHOOO KONDOM ZINANICHUBUA, KONDOMU ZINANIWASHA , ZINAOUNGUZA UTAMU, KAMA UMEKULA HELA YAKE, MRUDISHIE, KATAAA, HUYO ANATAKA KUKUUNGANISHA KWENYE GRIDI.
STUKA.
Sema mwanaume wako, hii kasumba umevurugana na mwanaume unashtaki wote ni so unfair, badili mtazamoKwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
Uyu wangu aifinyiagi sasa sijui nimuelezekeje?πππmuhimu
Ntashindwa shuka kwenye daladala maana mnara unasoma 9Gacha tu ππkama mimi ndom zinanichubua raha usikie kitu cha moto ππ
imagine unafinyia kwa ndani unafinyia ndom woiπ
Anauliza mavumbi stooKwahiyo ulimkula mgonjwa wako?
AiseeUle uji una raha yake cute.
Mademu wengi wanafosi dryKwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
Dahπacha tu ππkama mimi ndom zinanichubua raha usikie kitu cha moto ππ
imagine unafinyia kwa ndani unafinyia ndom woiπ
heeeeNtashindwa shuka kwenye daladala maana mnara unasoma 9G
mfundisheUyu wangu aifinyiagi sasa sijui nimuelezekeje?
Maneno yako ayo ππheeee
Umemsababishia udhaifu huyo Mwambaπ€£π€£π€£heeee
Na wewe je Bidada Condom huwa zinakuumiza au .Mi sijui sana hayo mambo ila marafiki zangu wazinzi huwa wananisimulia kuwa Wanawake ndo wanaongoza kutokupenda condom wanasingizia condom zinawaumiza
Daah! Ngoja nijaribumfundishe
Kuwa makini kutukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaakoNa wewe je Bidada Condom huwa zinakuumiza au .
Acha makasiriko Bi dadaKuwa makini kutukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako
Unamaanisha kibenten wa Bi mkubwa wako ni Bi dada?Acha makasiriko Bi dada
Walikuwa wakitaka condom, kabla sijaamua kuacha haya mambo na kuwa Padre. Demu alikuwa akitaka ndom naivaa nampelekea motoo hadi unasikia vua baby vua baby nipe yotee jamanii πππSi kweli ,wadada/ke ndiyo hawapendi ,ukiona mdada anakulazimisha kuvaa NDOMU basi ujue anaogopa mimba tu.
Mwambie huyuMkimbie...japo kwenye kupenda bila ndom wanawake twaongoza.Ule uji una raha yake cute.