Nimekuwa nikitafakari siasa za Tanzania, wanasiasa wa Tanzania na uzalendo wao wanaousema midomoni mwao lakini ukiwatazana kila kukicha hauonekani kabisa!
Nimesikitishwa na baadhi ya wanasiasa wanaoshangilia Tanzania kunyimwa misaada ambayo ni kwa maslahi ya watanzania masikini huko majimboni kwao lakini wao ndo wa kwanza kujinadi wazalendo lakini ni unafiki.
Najiuliza;
1. Ni uzalendo upi uko tayari kuona wananchi wanakosa huduma za kijamii kisa siasa tu?
2, Je, wanasiasa wetu ni kweli wanakerwa na umasikini wetu au umasikini wetu ni mtaji wao kisiasa ili kwenda ikulu na kupata ubunge na vyeo serikalini?
Watanzania tujitathimini, hatuna wazalendo bali watumia umasikini wetu kufikia malengo yao.
Kwangu mimi wazalendo ni;
1. Nyerere
2. Sokoine,
Na sasa Magufuli, basi.