Maskini ndie anasema anasubiri kufa, juzi kati nmetoka na washikaji tumejichanga kwa ajili ya kwenda kula na kunywa aisee haya maisha ni matamu mno na pesa ni kila kitu.
Maskini ndie anasema anasubiri kufa, juzi kati nmetoka na washikaji tumejichanga kwa ajili ya kwenda kula na kunywa aisee haya maisha ni matamu mno na pesa ni kila kitu