Kwanini wadada wa siku hizi wanaoiba waume za watu hujikuta wamerogwa kwa kublidishwa mfululizo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,551
108,888
Kuna Dada ( Binti ) Mmoja mwanzo nilikuwa nafurahia 'alivyokomeshwa' na Mwanamama aliyeibiwa nae 'Mumewe' ila si Siri kwa sasa Imani ya 'Huruma' imeniingia juu yake kwani huyu Binti (Dada) ambaye ni 'Mwizi' wa 'Mume' wa Mtu 'amerogwa' kiasi kwamba Yeye 24/7 tu 'anablidi' na sasa bora basi hata hiyo 'blidi' yenyewe itoke kidogo kwani inatoka kama vile Bwawa la Mindu limevunja Kingo zake na sasa Maji 'yanafurika' vibaya na 'Kuwadhuru' Wakaazi wa Maeneo Jirani.

Jamani kuna Watu wanajua 'Kuroga' vibaya hapa duniani Kudadadeki. Ila na nyie Wadada ( Mabinti ) acheni tu 'Mrogwe' kwani mnataka wenyewe.
 
Alafu...Kutoka Damu mfululuzo sio kurogwa.. TU Ni.Maradhi yanayoweza mpata mwanamke.

Nawala usishangilie baya la mwenzako

Kwani yeye kafanya dhambi...je Wewe hauna dhambi uliyokwisha fanya.

Mwenyezi Mungu atunusuru tusipende kushangalie na kuhukumu wengine kwa mabaya waliyoyatenda. Mungu Ni msamehevu anaweza msamehe na akamponya..
 
Hata hao wanaoroga wenzao nao wanakosea sana, kwanini wasiwaroge waume zao ili wasitoke nje na kwenda kukutana na hao mabinti?!
Mwanaume anatongoza Hajui Kama ndoa yake Ni ya mke mmoja TU?... Anazini yeye ndo anaenda kinyume na mkataba wake wa ndoa..Alafu huyu mkewake...anatoka huko anamlaumu mwanamke.

Warogeni wanaume zenu wasione hao wanawake.

Japo kuroga Ni ushirikina ...inatakiwa umuombe Mungu, kwani Mungu yu karibu.
 
Huyo mrogaji hana akili, mwanamke mwenye akili akijua anaibiwa mme wake atadeal na mme wake sio mwizi maana umeroga aliekuibia ukaacha mali nje tena jua itaibiwa na mwingne tena mwenye uhitaji
 
aende akatubu masikini. kuna mmama mwingine yeye anamfuatilia huyo binti kila atakapopata mchumba anaenda kemsemelea kwa wazazi wa kijana na mapicha juu uchumba unavunjika.
Kwahiyo bora aendelee na mmewe haaa haaa ndoa hizi! Kama umepata mtu mnaye endana naye ni kumshukuru Mungu.
 
Kuna mmoja naye (kajaliwa shepu) alikuwa anatembea na mme wa mtu huku anamtambia mkewe,mkewe kamvumilia siku akamchana kwamba yy na mumewe waathirika na dozi kamwonyeshea.

Presha juu kupima kweli kaathirika akawa hana amani,kachanganyikiwa ile hali hakukubaliana nayo baada ya mwaka kavuta.
 
Hata hao wanaoroga wenzao nao wanakosea sana, kwanini wasiwaroge waume zao ili wasitoke nje na kwenda kukutana na hao mabinti?!

Mkuu kuna Dada ( Binti ) Mmoja nakumbuka 'aliblidishwa' hadi akawa sasa 'anazimia' ila nakumbuka 'Marehemu' Bibi yangu alimpa 'Tiba' ya Kimila.
 
Wewe umejuaje Kama ana bleed 24/7 while wewe Ni mwanaume?!

Pumbavu unajuaje je, kama Mimi GENTAMYCINE labda ni Daktari? Kuna 'Mijitu' mingine mna 'Fikra' za 'Kijuha' sana hadi 'mnakera' kwa Upuuzi pia.
 
Pumbavu unajuaje je, kama Mimi GENTAMYCINE labda ni Daktari? Kuna 'Mijitu' mingine mna 'Fikra' za 'Kijuha' sana hadi 'mnakera' kwa Upuuzi pia.
Kwani madaktari hawana ethics kiasi Cha kufungulia uzi privacy za mteja na kutukana watu hovyo huku jf?!
 
Back
Top Bottom