toka siri ifuchuke kuwa wabunge wamepandisha posho zao wananchi wengi wamepiga kelele kila mmoja kwa namna yake kupinga jambol hilo.
ombi langu kwa watanzania ni kuliangalia jambo hilo kwa makini na mapana.
katika nchi yetu hii tukufu watu wamekuwa na tabia ya kutumia nafasi wanazopewa kujipangia mazuri tu bila kuangalia wenzao hasa inapokuja kujipangia maslahi isipokuwa akinamama wa vijijini ambao hupakuwa vizuri na kuwapa wanaume .
kwa mfano
WABUNGE. WALIWEKA UKOMO WA RAIS KUWA MIHULA MIWILI tu YA MIAKA MITANO TU LAKINI WAO WAKAKAA KIMYA.
BOT- MISHAHARA YAO MIKUBWA KULIKO HATA WALIMU WAO WALIOWAFUNDISHA.
TANESCO- WAFANYAKAZI WANATUMIA UMEME SANA NA KWA KILA KITU LAKINI WANALIPA BILI KIDOGO SANA
TRA- WANAJILIPA MISHAHARA MIKUBWA KWA KISINGIZIO CHA KUTULIZA TAMAA YA KUIBA HIZO HELA WANAZOKUSANYA
TBL- WAFANYAKAZI WANAKUNYWA BIA TANI YAO KILA SIKU JIONI NA KILA MWEZI WANAPEWA KRETI KUPELEKA MAJUMBANI
MIKUKO YA HIHADHI YA JAMII- MISHAHARA MIKUBWA KULIKO WAFANYAKAZI WANAO KATWA NA KUCHANGIA.
WAJUMBE WA KAMATI ZA HARUSI- HUACHA VINYWAJI VINGI ILI WANYWE WAKATI WA KUVUNJA KAMATI
orodha ni ndefu.
sasa kwa nini tunawaandama wabunge ambao kwa kweli hela zote wanazopata tunazichukua katika harambee tunzowaalika kila wakati. tunawapa kwa mkono wa kulia na kizichukua kwa mkono wa kushoto.
Ma CEO na madirector wa commercial banks mishahara yao ni 20m+
Nyongeza za posho kwa wabunge zina nia njema ya kuwawezesha wabunge wamudu Gharama za kuwawakilisha wananchi vizuri, kwa kuwa mishahara wanayolipwa ni midogo ikilinganishwa na gharama wanazoingia wakiwa bungeni.Tatizo hawa wawakilishi wetu hawana hoja za kujiongezea hayo mapato yao. Unaposema gharama za maisha zimepanda, kwani unaishi peke yako Dodoma? After all CEO wanatakiwa kuwa rewarded depending on performance zao, ikitokea CEO analipwa vizuri sana wakati kampuni inatia hasara, then kuna tatizo kubwa kwenye hiyo kampuni.
mkuu kwenye harambee ni hiari yako. si lazima utoe na ukitoa basi uishie pale mkono unapoishia wakati wa kujikuna.toka siri ifuchuke kuwa wabunge wamepandisha posho zao wananchi wengi wamepiga kelele kila mmoja kwa namna yake kupinga jambol hilo.
ombi langu kwa watanzania ni kuliangalia jambo hilo kwa makini na mapana.
katika nchi yetu hii tukufu watu wamekuwa na tabia ya kutumia nafasi wanazopewa kujipangia mazuri tu bila kuangalia wenzao hasa inapokuja kujipangia maslahi isipokuwa akinamama wa vijijini ambao hupakuwa vizuri na kuwapa wanaume .
kwa mfano
WABUNGE. WALIWEKA UKOMO WA RAIS KUWA MIHULA MIWILI tu YA MIAKA MITANO TU LAKINI WAO WAKAKAA KIMYA.
BOT- MISHAHARA YAO MIKUBWA KULIKO HATA WALIMU WAO WALIOWAFUNDISHA.
TANESCO- WAFANYAKAZI WANATUMIA UMEME SANA NA KWA KILA KITU LAKINI WANALIPA BILI KIDOGO SANA
TRA- WANAJILIPA MISHAHARA MIKUBWA KWA KISINGIZIO CHA KUTULIZA TAMAA YA KUIBA HIZO HELA WANAZOKUSANYA
TBL- WAFANYAKAZI WANAKUNYWA BIA TANI YAO KILA SIKU JIONI NA KILA MWEZI WANAPEWA KRETI KUPELEKA MAJUMBANI
MIKUKO YA HIHADHI YA JAMII- MISHAHARA MIKUBWA KULIKO WAFANYAKAZI WANAO KATWA NA KUCHANGIA.
WAJUMBE WA KAMATI ZA HARUSI- HUACHA VINYWAJI VINGI ILI WANYWE WAKATI WA KUVUNJA KAMATI
orodha ni ndefu.
sasa kwa nini tunawaandama wabunge ambao kwa kweli hela zote wanazopata tunazichukua katika harambee tunzowaalika kila wakati. tunawapa kwa mkono wa kulia na kizichukua kwa mkono wa kushoto.
Nyongeza za posho kwa wabunge zina nia njema ya kuwawezesha wabunge wamudu Gharama za kuwawakilisha wananchi vizuri, kwa kuwa mishahara wanayolipwa ni midogo ikilinganishwa na gharama wanazoingia wakiwa bungeni.
Ni vyema jamii ifahamu kuwa wabunge hawalipwi fedha nyingi kama inavyozungumzwa na baadhi ya watu na kwamba, wanachobaki nacho baada ya makato ya mkopo wa gari na kodi, hakiwatoshi kumudu gharama zote wawapo Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge, kama vile malazi na nyinginezo, alisema Makinda