Kwanini WAASISI wa CHADEMA walitokea BOT?

kweli viongozi wa CDM waanzilishi walianzia BoT, mzee Mtei alitofautina na Nyerere, baada ya kumpa ushauri wa jinsi ya kukubali na IMF hapa kwetu tupate fedha za kufufua uchumi, Nyerinyeri akakataa, jamaa akajiuzulu..baada akaja kukubali ule ushauri. Makani amekuja kuwa naibu gavana wa BoT baada Mtei kuwa ameondoka. Mbowe pia alifanya kazi pale, lakini inasemekana ni kazi za kada ya chini, ni miaka ya 90's mwanzoni. Uwepo wao pale uliwasaidia kujua mambo mengi hasa juu ya siasa chafu za CCM, mfumuko wa bei, sera mbovu za kukuza uchumi n.k wa kapata pa kuanzia , na kutunga sera bora kabisa za kulikomboa Taifa hili, mpaka Mwalimu kAMBARAGE akawapigia solute, na kutabiri kuwa ndicho chama mbadala cha kuongoza Taifa hili. Sio mchezo mpaka Kifimbo akukubali hapa usenzini TZ
 
A hyperbolled heading!
1) How many founders were there?
2) Once you got the numbers, if you minus those two u'd mentioned who will be on the majority?
3) What's the objective of the thread viz vis contemporary CDM and national challenges?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…