Tokea Jana nipo YouTube mpaka saizi unavyonionaRedemption song
Yahudi kwa.............sto na waarabu kwa ......mu aaaaah aaaaah uwaambii kitu...MTU yuko tayari kuuza nchi hata kumuua ndugu yakeTokea Jana nipo YouTube mpaka saizi unavyoniona
Jamaa alikuwa anawaamsha waAfrika na maneno yake yakifalsafa ,WaAfrika wanyanyuke ,na wakatae utumwa wa kifikra lakini ndio kama hivyo watu wameshashikiwa fikra na akili na vigumu sana kuwaondoa kwenye utumwa na fikra hizo ..
Leo hii akitokea myahudi au mwarabu ni rahisi sana mtu kuiuza nchi yake kwa hao watu haswa waliopo kwenye taasisi nyeti
Kuna alipewa twiga [emoji16][emoji16][emoji16]Tokea Jana nipo YouTube mpaka saizi unavyoniona
Jamaa alikuwa anawaamsha waAfrika na maneno yake yakifalsafa ,WaAfrika wanyanyuke ,na wakatae utumwa wa kifikra lakini ndio kama hivyo watu wameshashikiwa fikra na akili na vigumu sana kuwaondoa kwenye utumwa na fikra hizo ..
Leo hii akitokea myahudi au mwarabu ni rahisi sana mtu kuiuza nchi yake kwa hao watu haswa waliopo kwenye taasisi nyeti
watu kibao wameoa/olewa na warabu na wayahudi vilevile. labda huku shitholes ndio hayo yanaonekana maajabuHuwezi kumuoa pure Arab au Jews kirahisi ni moja ya jamii Katili duniani kuua kwao ni very simple
unaficha nini sema tu yahudi kwa wakristo na arabu kwa waislamu [emoji16][emoji16]Yahudi kwa.............sto na waarabu kwa ......mu aaaaah aaaaah uwaambii kitu...MTU yuko tayari kuuza nchi hata kumuua ndugu yake
Husichokoze watuMleta uzi umesema kweli ni upuuzi mtupu kuwashabikia watu wanaotuchukulia kama watumwa na wanyama wa kuwafanya vyovyote wapendavyo. Wengine wanadai hata kuomba Mungu (dua) mpaka kwa lugha yao ya asili. Eti lugha zetu za kiafrica ni za kipagani!!! AIBU YETU WAAFRICA
Garvey nilikuwa natizama video Bob anahojiwa leo alisema mashuleni badala watu wafundishwe akina Garvey badala yake wanafundishwa akina nani sijui ,totally brainwashedNi vigumu kutoka ktk huu mnyororo.
Mshindi ndie huandika historia. Concious kwetu waafrika iliondoka na akina Marcus garvey akina Bob Marley etc
Kadri miaka inaenda tutajikuta chakula chetu cha asili ni burger na tutaamini waliotutoa gizani ni Arabs + wayahudi
Kama kuchokoza watu ni mada imewachokoza not me!! Otherwise mada iondolewe. Na uoga huo unatuletea utumwa wa ki akiliHusichokoze watu