Kwanini Waafrika wanateswa na kufukuzwa Israel?

Waafrika hawapendwi popote, sio Israel tu...Kasome jinsi biashara ya utumwa inavyoendelea hadi leo huko Mauritania kwa Waafrika wenzetu...Mwarabu anaamini mtu mweusi kaumbwa wa daraja la chini ili kumtumikia.

Huko Uarabuni wadada wa Kiafrika wanapitia mateso ya ajabu kutoka kwa Waarabu sababu ya rangi yao

Nchi za Tunisia, Misri, Morocco japo tupo bara moja zinawabagua waafrika weusi kuliko hata wazungu...

https://www.theguardian.com/global-...unspeakable-truth-about-slavery-in-mauritania
 

Waafrika hatunaga kazi za kufanya, bado tu tunafikiriaga utumwa. Utumwa wenyewe ulifanywa na wazungu wakishirikiana na weusi wenzetu.
 
1-2 wakubwa wao tu ndo wanajua na wala hawawaambii wafuasi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujinga wakimbizi sio huko hata hapa kwetu tanzania wa ethiopia wanapata tabu sana tena ni wapita njia angalia wanavyonynyaswa na ni waafrica wenzetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wahabeshi wangapi wamefia kwenye magari wakipita na wale wanaopona wanawekwa magerezani? Wakimbizi wa kirundi au Rwanda walishapewa kazi kama siyo kuwekwa makambini na misaada siyo ya tanzania bali ya UN. Hawa wakienda Israel wanaishi kuwa mitaani na kuwa omba omba.
Wewe umefika Israel kuona wakimbizi wanaoenda kule wanavyotunzwa? wana matunzo mazuri kulinganisha na hawa tunaowasweka lupango na wengine kuishia makambini. Naongea kwa kuwa shahidi kutokana na kazi yangu.
 
Hapa utakuta waathirika wakuu ni wafia dini.
kama wewe ni mkimbizi,mambo ya imani waachie wenye nchi.
ukijiingiza humo kwenye malumbano, jiandae kuondoka
kwenye ardhi ya wenye nchi yao.
Angalia mfano wa vita ya Kenya na al-shabab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…