Kwanini vijana wengi hawana ajira?

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Naomba tuiweke mawazo wakuu wa nchi wapitie sababu ya watu kukosa AJIRA sana na nini suluhisho lake.
 
1- WANAPENDA KUCHEZA PULUUU....
2- HAWAJASOMA NA HAWANA PHD AU HATA BASI TU-MASTAZZ
3-KWA SABABU TAIFA LETU NI TAJIRI ILA WANANCHI NI MASIKINI...HATA MIMI SIJUI KWANINI.
 
Kwa sababu wengi hawajasoma na waliosoma wakiomba ajira wanaambiwa at least uwe na experience ya kaz miaka 10
 
Wanahudhuria mikutano ya kisiasa ndio maana imepigwa marufuku ili wafanye kazi
 
Sababu ni hizi hapa
1)ujinga
2)uwoga
3)uvivu
4) umbea

Kwa sisi wakristo tunaita mizizi ya zambi
 
Vijana wengi hawana ajira kwa sababu
1. Mazingira yanayowazunguka
2. Hawajafundishwa kujitegemea
3. Uoga wa maisha
4. kukata tamaa mapema( sababu ya ahadi za ukimaliza masomo kazi)
 
downloadfile-43.jpeg

tunze kumuuliza huyu kisha tuje kwa magu

swissme
 
Back
Top Bottom