Kwanini vijana wa ''mjini" hawafanikiwi?

Uvivu, kujifanya wanajua kila kitu, kupiga vizinga, utapeli na kubeti....na pia kuongozwa na RC kilaza....vyote hivyo vimechangia
 
Me Nakupongeza Mtoa Mada Kwa Observation Yako Na Kushare Nasi, Ila Inamapungufu Mengi Sana. Kafanye Research Yako Vzr Ktk Maeneo Haya, 1.Soma Historia Ya Dar Na Wakaz Wake Toka Wakoloni 2. % Ngapi Ya Makondakta Au Madereva Wa Daladala Ni Wazawa Wa Dar? 3.Vp Biashara Ya Dala Dala Ilivyo, Posho Za Madereva Na Za Makondakta? 4.Ni Vijana Wa Jamii/makabila Yapi Waliozaliwa Dar Unaona Wanabweteka? 5.Km Wanatumia Madawa Ya Kulevya, Gongo, Bangi Nk, Vp Kuhusu Background Zao Mf. Mazingira Aliyokulia,Walezi, Familia Nk? 6.Hao Vijana Waliozaliwa Dar,je Wanaish Dar Tu Au Wapo Na Mikoani Au Nchi Zingine? 7.Ni Vjana Wangap Wanakuja Dar Kutafuta Maisha Na Ni wangap Wanarud Vijjn Mambo Yakiwamagu?(kumbuka Wa Mjini Hawez Kurud Kjjn Kwan Co Kwao Kule) Kufanikiwa Kwa Watu Kunatofautiana Kutokana Na Akiri Na Juhudi Za Watu Husika, Sasa Hilo Halichagui Ww Ni Wa Wap? Ni Km Shule Mtu Akipata 90% Af Mwingine Akapata 40%, Huwez Uliza Anatoka Wap! Mada Ni Nzr Sema Mleta Mada Huna Data Kamili So Umelizungumza Kimtazamo.
 
Back
Top Bottom