Anadanganya watu vipi?Wenye kutaka Kujua yako au Kukujua wakikuamulia hata uweke nini watakipata tu kile wakitakacho. Acha Kudanganya Watu.
Wenye kutaka Kujua yako au Kukujua wakikuamulia hata uweke nini watakipata tu kile wakitakacho. Acha Kudanganya Watu.
Vipi ukitumie mgegedoprint? Hiyo iko salama?Kwa mnaotumia alama za vidole au sura kulinda data zenu, ni kweli hizo data zenu zipo salama?
Ukweli ni kwamba alama ya vidole (fingerprints) sio ulinzi sahihi kwa simu yako. Ni vyema kutumia PINs au password, simu yako itakuwa salama zaidi.
Tatizo la kutumia fingerprint ni kwamba unaweza kufungua simu yako bila hiyari yako.
1. Mtu anaweza kukulazimisha kwa nguvu kutia kidole kwenye sensor. Wazee wa michepuko , epuka kutumia hii maana ukiwa umesinzia wife anaweza gusisha kidole pale akasoma data zako.
2. Mtu anaweza kuchukua alama zako za vidole kwenye vitu mbali mbali mfano glass na akatumia kufungua simu yako.
Face lock, fingerprint lock ni hatari. Usitumie kama una siri zako.
Kwa hiyo bora kutumia mboni ya jicho?Kwa mnaotumia alama za vidole au sura kulinda data zenu, ni kweli hizo data zenu zipo salama?
Ukweli ni kwamba alama ya vidole (fingerprints) sio ulinzi sahihi kwa simu yako. Ni vyema kutumia PINs au password, simu yako itakuwa salama zaidi.
Tatizo la kutumia fingerprint ni kwamba unaweza kufungua simu yako bila hiyari yako.
1. Mtu anaweza kukulazimisha kwa nguvu kutia kidole kwenye sensor. Wazee wa michepuko , epuka kutumia hii maana ukiwa umesinzia wife anaweza gusisha kidole pale akasoma data zako.
2. Mtu anaweza kuchukua alama zako za vidole kwenye vitu mbali mbali mfano glass na akatumia kufungua simu yako.
Face lock, fingerprint lock ni hatari. Usitumie kama una siri zako.
Ni rahisi sana.Mkuu siwezi kulala mpaka ukachukua mkono na kuweka kwenye simu yangu kabisa sina usingizi huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Man.Nishawah wekewa kidole nikiwa usingisini alipekua akapekua mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Najijua kabisa kwenye jambo hilo alafu sitawaliwi kihivyo eti nilale alafu kuwe na mpuuzi anataka kushika simu yangu. Kifo kitamuhusuNi rahisi sana.