Kwanini umechagua kuwa mkristo?

Kuwa seriously kidogo

Yesu huyu huyu aliyekuwa anatumwa dukani na mama yake akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa ndio Mungu wako?

Yesu huyo huyo aliyekuwa anacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya Leo hii amekuwa Mungu?
 
Lengo la Uislamu ni kuufuta Uyahudi na Ukristo:

Wanataka wabaki wenyewe ili wawe huru kukatana mikono, kuchinjana na kuoa vitoto vya miaka 6

Wakifanikiwa hivyo hapo Majini yatazagaa kila kona duniani na kushangilia ushindi kwa fulaha ya uhuru wa kuishi salama:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…