Kwanini ukimtukana mtu kwa Kingereza ha-mind ila tumia Kiswahili uone?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Aise! Kwani kingereza mbona watu wanakipendelea Sana. Yaani imefikia wakati kingereza mnakiona dhahabu Sasa.

Kuna watu bana ukimtusi kwa kutumia lugha ya kiingereza hakudiss kosa utumie kiswahili utaona balaa lake. Kwa mfano kipindi tuko school enzi hizo tulikuwa tuna korofishana na marafiki nashikwa na hasira nawatusi F***k you Ila hawanidiss tunapoa tu.

Ila siku moja wakaniudhi nikawatusi vile vile Ila kwa kiswahili walimind kinoma wakanisema mpaka kwa mwalimu nikapata bakora za kutosha

Ina maana kiswahili ni lugha yenye ukali wa maneno. Kwasababu siwezi sema hawakumind eti kwasababu hawakujua maana yake tulikuwa kwenye shule ya English medimu so walielewa kabisa.
 
Huenda wanakuwa hawaelewi lugha, ila matusi ya kiswahili yanavyo tamkika yanasound kibabe😂😂
Ukutane na msukuma au mkurya akutusi kiswahili wanavyokazia maneno😂😂😂😂..
Samahani kwa makabila tajwa hapo juu.
 
Back
Top Bottom