Im not sure
Member
- Sep 6, 2013
- 36
- 25
Uingereza ina nini au imekwazwa na nini?
Sababu kubwa ni uchumi,ukiiondoa German,UK ni nchi yenye uchumi mkubwa kuriko zote ulaya,sasa kwenye EU,wao UK wanaona kwamba,wanachangia kikubwa sana kuriko wengine,kiasi kwamba wananchi wengine wa Ulaya wamekimbilia UK kutafuta maisha,na ajira.Uingereza ina nini au imekwazwa na nini?View attachment 1225139