Why waTz na waKenya wanajiona kama Ndo wana'run East Africa??
They rarely scarcely talk about us
Its like we don't exist
I feel shamed
Halafu wakija Uganda wanajiona kama wajanja sana wanakuja kututoa ushamba
For your information nasisi ni sovereign state with our affairs
Au kwakuwa hatujui kiswahili fasaha??
I beg to differ
Au kwakuwa wao wana vivutio vya utalii vingi kutuzidi??
I beg to differ
Au kwakuwa wao wana uchumi mkubwa kuliko sisi??
I beg to differ
Au kwakuwa wanatuzidi elimu??
I beg to differ
Matter of fact chuo kikubwa east Africa kipo Uganda that is Makelele university
Top that Kenya and Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kiganda,,huku tuna lugha tatu kiganda,kiswahili na English sema juu ni kiganda...ila kinataka kufanania na kihaya na kisukuma kidogo....huwa tunaelewana vizuri tuNa watoto wazuri wako kwa mzee PK Rwanda.
Hayo ni mawazo yako sisi wabongo tunawapenda wote. Naona umeamua tu kuchezea bando kama kuna fursa tunskuja kwenu na wewe karibu kwetu.
Ila kusema kweli mnanichanganya hivi UBC wanazungumza lugha gani ile.
Ni sawa na sisi Tz tuzungumze nyakyusa au kichaga TBC1 au hiyo lugha wanaongea UG wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wana dharau wakati wanazidiwa swagga hata na waTzNi wakenya hao..... Wanadharau kama nini
Wewe unajidharau mwenyewe tu, hakuna watu wazuri kwa kujichanganya na wageni kama watz sema Uganda mnajitenga sana na mnapenda kuongea kilugha chenu zaidi.
Wewe mtanganyika uliyejivika uganda una shida sanaWhy Watanzania na Wakenya wanajiona kama ndio wanarun East Africa??m
They rarely scarcely talk about us. Its like we don't exist. I feel shamed. Halafu wakija Uganda wanajiona kama wajanja sana wanakuja kututoa ushamba.
For your information na sisi ni sovereign state with our affairs.
Au kwakuwa hatujuiKkiswahili fasaha?
I beg to differ.
Au kwakuwa wao wana vivutio vya utalii vingi kutuzidi?
I beg to differ.
Au kwakuwa wao wana uchumi mkubwa kuliko sisi?
I beg to differ.
Au kwakuwa wanatuzidi elimu?
I beg to differ.
Matter of fact chuo kikubwa East Africa kipo Uganda that is Makerere University.
Top that Kenya and Tanzania!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanjichanganya wakiwa huko kwao,wakija huku wanajitenga na kujiona specialWewe unajidharau mwenyewe tu, hakuna watu wazuri kwa kujichanganya na wageni kama watz sema Uganda mnajitenga sana na mnapenda kuongea kilugha chenu zaidi.
Ninazo full proof
You are doing exactly what I predicted... Sasaiv we mTz unataka kunivua u'Uganda wangu kama vile ni kitu kibaya...Uganda is my pride and my crown you shall not prevailNinazo full proof
Na watoto wazuri wako kwa mzee PK Rwanda.
Hayo ni mawazo yako sisi wabongo tunawapenda wote. Naona umeamua tu kuchezea bando kama kuna fursa tunskuja kwenu na wewe karibu kwetu.
Ila kusema kweli mnanichanganya hivi UBC wanazungumza lugha gani ile.
Ni sawa na sisi Tz tuzungumze nyakyusa au kichaga TBC1 au hiyo lugha wanaongea UG wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusimulie kivipi ?Wanjichanganya wakiwa huko kwao,wakija huku wanajitenga na kujiona special
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya zisalimie tamutamu za kabalagalaWhy Watanzania na Wakenya wanajiona kama ndio wanarun East Africa??m