Kwanini udanganye watu jinsia yako?unafaidika na nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini udanganye watu jinsia yako?unafaidika na nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fahad clay, Aug 14, 2012.

 1. f

  fahad clay Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Za leo?i hope wote ni wazima wa afya...nashindwa kuelewa binadamu wa siku hizi tunafikiria nini.Siku hizi kuna tabia ambayo imekua sugu tena inakera.Unakuta watu kwenye mitandao ya kijamii na internet wanajibadilisha jinsia ili wachezee akili za watu...Tatizo hili limekua sugu haswa kwa jinsia ya kiume ambapo wengi hujifanya wanawake.Je, nauliza nyie wanaume mnataka kuolewa? Ama kazi ya kupinda mgongo mnaipenda?mnaona wanawake wanafaidi mpaka mnataka muwasaidie?mi naona ni ukosefu wa akili na ulimbukeni!
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Vp ndugu umemtokea mtu mwenye midevu nini ukidhani ka shori?
   
 3. f

  fahad clay Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cjawai na haitatokea! Wengi nazani wana jinsia mbili km majini mahaba!
   
 4. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,190
  Likes Received: 2,884
  Trophy Points: 280
  kuna issue imekupata sio bure.
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  ukome kutongoza hovyo....
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  vipi mkuu umekutwa na maswaiba gani?
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kuna mibaba inahamu sana ya kutongozwa na midume. Jane00000 uko wapi?
   
 8. f

  fahad clay Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naisi watakua mashoga!
   
 9. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu sasa mbona umemaliza kila kitu mwenyewe?? Hayo uliyoyasema ushayapa jibu tayari ukweli ndio huo. Sio mashoga wote huwa wanatokana na msukumo wa homon, wengine huanza kama hawa sasa mwanaume unapo penda na kujisikia raha na faraja unapotongozwa na mwanaume mwenzako kwa nini usipende na kuliwa tigo?? Na unabadilisha jina na kujipachika jina la kike ili iweje kama sio kutamani kufilwa???
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hizi tabia hata mimi huwa nazichukia sana, sijui na huwa sielewi huwa wanajisikiaje wanapotumiwa meseji za kutongozwa kutoka kwa wanaume wenzao? Hawajisikii kichefu chefu? Hawajioni wanadhalilisha nafsi zao?
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  wanafanya hivyo kwa sababu uwongo ndio tabia yao.mtu na akili zako,huwezi kufanya hivyo
   
 12. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hata mimi naona!hizi hasira sio bure!
   
 13. f

  fahad clay Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mashoga hao! Wanawashwa!
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Afu unakuta nyumbani ana mke na watoto, kwenye mitandao ya kijamii anajiita mwanaasha khaaa! jamani mambo mengine ni kujitafutia laana..
   
 15. f

  fahad clay Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenena!
   
 16. phina

  phina JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  duh...jini mahaba wana jinsia mbili??..
   
 17. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  matemate yenu ndo yanawaponza
   
 18. f

  fahad clay Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu ukutane nao!
   
 19. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kunawengine wasaka noti tu vijana. Ila mtandao kama Tagged mashoga ndo kibao
   
 20. phina

  phina JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu inavoonekana una experience nao eh??
   
Loading...