Na wakati mwingine mtu anadanganya bila sababu yoyote ya msingi. Binafsi kama nipo na mtu halafu akapigiwa simu na kudanganya mbele yangu huwa na mimi napoteza imani nae tena....maana kama anadanganya wengine nini kitamzuia kunidanganya na mimi.
Cku hizi imekuwa fashen kudanganya.
mwache adanganye tu mana sasa bila uongo mambo hayaendi kabsaaaa
sasa kama unayewasiliana naye ni mwongo, kwa nini na wewe usidanganye ili mbalance mambo?Wana jf,katabia haka kameshika hatamu hasa baada ya teknolojia ya mawasiliano kukua,,,,,sijui kama ni jambo jema unapowasiliana na mtu ukaamua kumdanganya,,,,,,chukulia mfano huu ambao naushuhusdia sasa lakin nimeshaushuhudia sana binti amepigiwa simu halafu nadhan akaulizwa upo wapi???yeye akajibu
NIPO HAPA MOROCCO,ki ukweli daladala ilikua haijatoka hata ndani ya kituo cha mwenge!!!!!kwakweli uongo haufai,,,,anaweza akakutega kidogo tu huyo unaemdanganya then ukajikuta unahunyahunya tuuu.......simaanish kuwa wanaodanganya ni wasichana uuu
sasa kama unayewasiliana naye ni mwongo, kwa nini na wewe usidanganye ili mbalance mambo?
Ili uweze kufanikisha jambo ulilokusudia kulifanikisha.
Tena madriver taxi ndio wamekubuhu kabisa katika hii fani ya uongo!Utasikia ndio nakata hii kona hapa karibu nafika,huku hayupo kabisa hayo maeneo,ndio kwanza anamshusha mteja mwingine!!Tubadilike !!
Uongo haufai, kuna mwingine alipigiwa simu akadanganya yupo nyumbani akaambiwa ageuke nyuma!...... (malizia mwenyewe kilichotokea)