Wana jf,katabia haka kameshika hatamu hasa baada ya teknolojia ya mawasiliano kukua,,,,,sijui kama ni jambo jema unapowasiliana na mtu ukaamua kumdanganya,,,,,,chukulia mfano huu ambao naushuhusdia sasa lakin nimeshaushuhudia sana binti amepigiwa simu halafu nadhan akaulizwa upo wapi???yeye akajibu
NIPO HAPA MOROCCO,ki ukweli daladala ilikua haijatoka hata ndani ya kituo cha mwenge!!!!!kwakweli uongo haufai,,,,anaweza akakutega kidogo tu huyo unaemdanganya then ukajikuta unahunyahunya tuuu.......simaanish kuwa wanaodanganya ni wasichana uuu