Kwanini udanganye unapopiga au kupigiwa simu????

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wana jf,katabia haka kameshika hatamu hasa baada ya teknolojia ya mawasiliano kukua,,,,,sijui kama ni jambo jema unapowasiliana na mtu ukaamua kumdanganya,,,,,,chukulia mfano huu ambao naushuhusdia sasa lakin nimeshaushuhudia sana binti amepigiwa simu halafu nadhan akaulizwa upo wapi???yeye akajibu
NIPO HAPA MOROCCO,ki ukweli daladala ilikua haijatoka hata ndani ya kituo cha mwenge!!!!!kwakweli uongo haufai,,,,anaweza akakutega kidogo tu huyo unaemdanganya then ukajikuta unahunyahunya tuuu.......simaanish kuwa wanaodanganya ni wasichana uuu
 
Tena kwa dar na folen hii sidhan kama ukimwambia mtu ukweli atakukasirikia,,,,hasa kama upo kwenye daladala au private transport
 
Na wakati mwingine mtu anadanganya bila sababu yoyote ya msingi. Binafsi kama nipo na mtu halafu akapigiwa simu na kudanganya mbele yangu huwa na mimi napoteza imani nae tena....maana kama anadanganya wengine nini kitamzuia kunidanganya na mimi.
 
Sure,,,,,,yaani anaongea kwa nguvu now tupo morroco amepigiwa anasema yupo MKWAJUNI,,,,,,hahahahaaaa SIM HIZI
Na wakati mwingine mtu anadanganya bila sababu yoyote ya msingi. Binafsi kama nipo na mtu halafu akapigiwa simu na kudanganya mbele yangu huwa na mimi napoteza imani nae tena....maana kama anadanganya wengine nini kitamzuia kunidanganya na mimi.
 
Wana jf,katabia haka kameshika hatamu hasa baada ya teknolojia ya mawasiliano kukua,,,,,sijui kama ni jambo jema unapowasiliana na mtu ukaamua kumdanganya,,,,,,chukulia mfano huu ambao naushuhusdia sasa lakin nimeshaushuhudia sana binti amepigiwa simu halafu nadhan akaulizwa upo wapi???yeye akajibu
NIPO HAPA MOROCCO,ki ukweli daladala ilikua haijatoka hata ndani ya kituo cha mwenge!!!!!kwakweli uongo haufai,,,,anaweza akakutega kidogo tu huyo unaemdanganya then ukajikuta unahunyahunya tuuu.......simaanish kuwa wanaodanganya ni wasichana uuu
sasa kama unayewasiliana naye ni mwongo, kwa nini na wewe usidanganye ili mbalance mambo?
 
Utajuaje kuwa unaewasiliana nae ni muongo???au anakudanganya kwa wakat huo????mfano huyu dada yeye alipopigiwa sim akamwambia mwenzie kua yupo moroko kumbe mwenge hatujatoka,,,,,,,tunafika moroko kwa bahat akaulizwa tena upo wapi????akajibu kuwa yupo MKWAJUN,,,,,,,,It means yule wa upande wa pil hakujua kama anadanganywa
sasa kama unayewasiliana naye ni mwongo, kwa nini na wewe usidanganye ili mbalance mambo?
 
Tena madriver taxi ndio wamekubuhu kabisa katika hii fani ya uongo!Utasikia ndio nakata hii kona hapa karibu nafika,huku hayupo kabisa hayo maeneo,ndio kwanza anamshusha mteja mwingine!!Tubadilike !!
 
Duuu mdau kweli una uzoefu nao,,,,,nnae ndugu yangu taxi driver ndo zake,,,,,ukimuuliza anasema NI SEHEMU YA MAADILI YA KAZI
Tena madriver taxi ndio wamekubuhu kabisa katika hii fani ya uongo!Utasikia ndio nakata hii kona hapa karibu nafika,huku hayupo kabisa hayo maeneo,ndio kwanza anamshusha mteja mwingine!!Tubadilike !!
 
Uongo haufai, kuna mwingine alipigiwa simu akadanganya yupo nyumbani akaambiwa ageuke nyuma!...... (malizia mwenyewe kilichotokea)
 
Watu kupenda kudanganya imekuwa ni mazoea, siku hizi mtu haoni aibu hata kidogo kusema uongo kwenye simu za viganjani,(MOBILES) mAONI YANGU mtu yeyyote anayedanganya si mkweli, wala mwaminifu kwa lolote. " Ukweli ni sehemu muhimu sana ya maadili mema." na ukweli hujitenga na uongo popote pale.
 
serikali ndiyo ilyoanza kudanganya,wakafuata wabunge sasa mawaziri, sie twaiga ati! waliposema kila ziwa kutoa meli ziko wapi, Ngeleja alisema mwisho mwezi wa tisa umeme uko wapi?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom