wajuzi wa maswala ya gesi,kwanini gesi haiuzwi kwa lita kama mafuta ya petrol? Kwani ni lazima ununue mtungi full? nini madhara ya kuuza gesi kwa lita?
New member!wajuzi wa maswala ya gesi,kwanini gesi haiuzwi kwa lita kama mafuta ya petrol? Kwani ni lazima ununue mtungi full? nini madhara ya kuuza gesi kwa lita?
wajuzi wa maswala ya gesi,kwanini gesi haiuzwi kwa lita kama mafuta ya petrol? Kwani ni lazima ununue mtungi full? nini madhara ya kuuza gesi kwa lita?
[emoji23] [emoji23]Ipo siku utataka uuziwe oxygen kwa Lita ukatumie chumbani kwako
Chief hata litre ni ujazo piaPetroli ni kimiminika ndiyo maana hupimwa kwa lita...
Gesi ipo kwenye mfumo wa hewa, ndiyo maana hupimwa kwa ujazo...
Cc: mahondaw
Hilo unalolitaka litawezekana tu kama hiyo mitambo ya kujazia gesi itakuwapo kwenye vituo vyetu vya mafuta a.k.a shell,, kwa sasa hivi vituo vya kujazia gesi viko vichache mno.mnaweza kunilekebisha kwa kutumia ''lita''-ila nadhani mmenielewa namaanisha nn!!
Ujazo wa gesi hupimwa kwa kilo na si kwa litaKwani mtungi wa Gesi una Lita ngapi.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] inaonekana ulikuwa unafeli sana shule mkuu,Petroli ni kimiminika ndiyo maana hupimwa kwa lita...
Gesi ipo kwenye mfumo wa hewa, ndiyo maana hupimwa kwa ujazo...
Cc: mahondaw
Kilo ni kipimo cha uziti si ujazo. Neno kilo maana yake ni 1000. Kwa hiyo inaweza kuwa kilogram, kilolita, nk. Ujazo unapimwa katika kyubic za mita au lita, kama nimekosea wataalam mtanirekebishaUjazo wa gesi hupimwa kwa kilo na si kwa lita
Bora ungeuliza kama mitungi ya 0.5kg, 1kg, 2kg na kuendelea kama ipo.Wajuzi wa masuala ya gesi,kwanini gesi haiuzwi kwa ujazo tofauti kama mafuta ya petrol? Kwani ni lazima ununue mtungi full? nini madhara ya kuuza gesi kwa ujazo tofautitofauti?