LAAM RASHIDI
Member
- Sep 12, 2016
- 44
- 66
Umemaliza hoja yako kibabeKuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
sio mkuu wa majeshiRitz,
Rais pia ndio Amiri Jeshi Mkuu
Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
sio kibabe mkuuUmemaliza hoja yako kibabe
Kwahiyo raisi mamlaka yake Ni mchana tu?Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
Nimekaa nikajiuliza hivi kuna sababu gani bendera ya taifa letu la Tanzania kupandishwa asubuhi ya SAA kumi na mbili na kushushwa jioni ya SAA kumi na mbili?
**Hoja hapa inamaanisha ikifika hiyo SAA kumi na mbili nchi ya Tanzania inakuwa haipo?
**Utambulisho wetu muda huo mpaka kesho yake asubuhi unakuwa ni nini?
**Wenzetu nchi kama ya Marekani hawashushi bendera yao siku zote za wiki,mwezi wala mwaka,bendera yao inapepea siku zote 365 usiku na mchana.
**Sioni haja ya kuishusha bendera yetu ya Taifa katika maeneo yote inapokuwapo.
HahahaaUmemaliza hoja yako kibabe
Uongo!!!Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
Mkuu hayo unayosema ni fikra zako hujui sheria za jeshi.Kwanini ya Rais ishushwe wakati yeye ndio Amri Jeshi Mkuu? Na jeshi haliwezi kufanya kitu chochote bila kupewa amri kutoka kwa Rais. Naomba ufafanuzi hapo