Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,039 Reaction score 3,613 Nov 20, 2022 #21 Emen said: Hivi ile style hakuitoa kwa Fresh prince of Bel air kweli[emoji23][emoji23][emoji23]mana ile TV show ilikua ya 90s na Will smith kashtua kijoti sana mule,,,Joti alianza lini yeye,ila jamaa anajua namkubali sana! Click to expand... Ata kwenye muvi ya sarafina Kuna mwamba wa South anashtua,na Ni muvi ya kitambo sana
Emen said: Hivi ile style hakuitoa kwa Fresh prince of Bel air kweli[emoji23][emoji23][emoji23]mana ile TV show ilikua ya 90s na Will smith kashtua kijoti sana mule,,,Joti alianza lini yeye,ila jamaa anajua namkubali sana! Click to expand... Ata kwenye muvi ya sarafina Kuna mwamba wa South anashtua,na Ni muvi ya kitambo sana
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,670 Reaction score 167,723 Nov 21, 2022 #22 Mchekeshaji bora kuliko wote.... kwangu mie.