Nimemkumbuka Ashura wa primary alikua ni bonge na matako makubwa halafu alinizidi umri vibaya sana ila tulikua tunasoma darasa moja, kumbe Ashura ni siku kubwaNi lini hiyo siku ya ashura?
Hmm πNimemkumbuka Ashura wa primary alikua na bonge la chura halafu alinizidi umri vibaya sana ila tulikua tunasoma darasa moja, kumbe Ashura ni siku kubwa
Nini macho hayo km umemeza spokuHmm π
25 JuneNi lini hiyo siku ya ashura?
"Hakika hii Qur'an inasimulia juu ya wana wa israeli, mengi ya yale ambao wao ndani yake wanatofautiana, nayo kwa hakika ni uongofu na rahma kwa waumini."Mkiambiwa uislam umekopi biblia muwe mnaelewa
shem , anzisha siku na ww ili wale member wanaokufungulia uzi wa kukupenda wawe wanafunga.Ni lini hiyo siku ya ashura?
Hujawahi kuwaza ujinga shem! wazo zuri sana! nitalifanyia kaziπ€shem , anzisha siku na ww ili wale member wanaokufungulia uzi wa kukupenda wawe wanafunga.
iitwe siku ya Seran wa JF.
πππππ.
Wafunge na pia watume sadaka ya kujiteketeza kwako.
unaweka lipa namba. Ww ni kukusanya zaka. ππππ
Mkuu, Allah na mtume walikuwa wavuta bange, kitendo cha allah kudai jua linazama kwenye matope mara kaukata mwezi vipande viwili ni bange zile mkuu.Kisa cha Siku ya Ashura π€
Siku ya Ashura ni siku ambayo Allah alimwokoa Mtume Musa na wana wa Israil kutoka kwa Firauni na jeshi lake. Bahari ilipasuka kwa amri ya Allah, Musa na watu wake wakaokoka, huku Firauni na jeshi lake wakazama.
Mtume Muhammad ο·Ί alipofika Madina aliwakuta Wayahudi wanaifunga siku hiyo kwa shukrani kwa Allah. Akasema kuwa Waislamu wana haki zaidi kwa Musa, kisha akaifunga na akawahimiza Waislamu kuifunga.
Ndiyo sababu Waislamu hufunga Ashura kwa kumshukuru Allah na kutafuta malipo makubwa kutoka kwake. π€