Kwanini tujipe tabu

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
7,565
Reaction score
9,813
Kwanini tujisumbue kuwinda,wakati uwezo wa kupora kibabe tunao.

On top of the food chain.proud to be a masai.
 
Wanaume wa mikoani hao
Unataka kuniambia mie mmasai wa dar siwezi fanya hii kitu.by the way natafuta watu wawili tutimie watatu twende mbugani tukatesti hii kitu.Ila yataka moyo aisee,unaona simba 15 wanapiga menyu alafu mnawafuata mkiwa watatu tu.wazungu wanaita balls of steel.
 
For the fact ukiishi dar hata ukiwa mkurya something must go wrong
Si unamuona waitara
Mkuu nenda mikoani vijana wapo
 
Cheki wenzenu! Panya anaweza kuingia ndani akafanya anavyojisikia kisha akaondoka zake salama salmini akiwaacha mavi yanagonga chupi. Hata mende anaweza kuwahamisha kwenye nyumba.
 
Cheki wenzenu! Panya anaweza kuingia ndani akafanya anavyojisikia kisha akaondoka zake salama salmini akiwaacha mavi yanagonga chupi. Hata mende anaweza kuwahamisha kwenye nyumba.View attachment 923853View attachment 923858
Achana na wanaume wa dar.Tujadili kilichopo kwenye video.wewe wa mkoani unaweza kufanya kama jamaa walivyofanya.na unahisi kwanini simba walikimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…