Kwanini Telegram inakula sana data??

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Jamani hii kitu si mchezo, data zinatembea fasta sana.. nini tatizo kwenye hii app wataalamu?
 
Nenda Kaseti Data Usage Kule Uwa Imejiseti Vitu Vinajidownload Automatic Hata Bila Ww Kuvidownload.
 
Ondoa Automatic Media download..hua in defaults vitu vnajidownload bla ww kujua..ukifungua pcha telegram Jua ndo ushaidownload..ila bla ww kujua na znaenda kwenye File la Telegram.

KAondoe AUTO MEDIA download then tumia Telegram kwa amani..hv hv mzee utalalamika sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…