Tulijifunza kutoka Kwa Mwendazake aliyechapisha fomu 1 akiogopa kuenguliwa π₯π₯Za chini chini ni kwamba ndani ya ccm k
Kwa sasa kuna makundi kama matatu.
Kundi la kwanza
Hili kundi lina amini mama anatakiwa kupigiwa kura upya na wana ccm kwa sababu hakupitia mchakato wa kumpata mgombea wa chama na wala hakuchukua form. Hivyo linataka form zitolewe na mchakato ufanyike kama wa 2015.
Kundi la pili
Hili ni kundi ambalo linataka mama amalize muda wake wa kushikiria kiti cha Urais na aende zake akapumzike makunduchi kwa sababu kazi aliyo pewa ni kuivusha nchi baada ya kifo cha Rais Magufuli na siyo kubaki madarakani
Kundi la tatu
Lenyewe linaona mama kiti cha Urais kinampwaya kutokana kasi ndogo ya maendeleo na kuto kuwa na vision inayo eleweka. Pia lina lalamika baadhi ya mali za wananchi kuhusishwa na waarabu .
Kundi la 4
Hili ndio sisi ambao ni chawa wa mama tukiongozwa na Dr Nchimbi..
Sasa kitendawili cha 2025 bado hakieleweki kabisa ..
Hahaha alimuogopa sana membe bwege yuleTulijifunza kutoka Kwa Mwendazake aliyechapisha fomu 1 akiogopa kuenguliwa π₯π₯
Fomu ya Urais wa 2025 itakuwa 1 na jina la Samia tuu.
Tunapita mule mule ππππHahaha alimuogopa sana membe bwege yule
Haziangalii matokeo ila ubinafsi.Fomu itakuwa Moja tuu.siasa chafu zimejaa.
Unaamini nchimbi yupo upande was mama!!?Timu msoga imecharuka
Rostam Azizi yupo upande wa mama Abdul
Dg wa TISS karudishwa kunusuru hali.
Kinana atapigwa chini mwezi wa 2/3
Mpango anastaafu 2025
Ni mengi aisee
Mkuu mgetoa hata copy basi. HahahahaHaziangalii matokeo ila ubinafsi.Fomu itakuwa Moja tuu.
Kopi itakuwepo Kwa tahadhari Mkuu ππππMkuu mgetoa hata copy basi. Hahahaha
Wacha waendelee kujifariji,hao walisemaga hatamaliza miaka 3 mara DP World sijui itamtoa saizi wamebakia kwenye ramli ππππHao wapiga ramli wanasahau kwama Mwenyekiti wa CCM ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Endeleeni na ramli zenu.
Msimamo. Wake wa 2015 umembeba pakubwa na haziendi na msoga. Team lowasa wapo upande wa mamaUnaamini nchimbi yupo upande was mama!!?
Sio kaletwa kutibua maji yachafuke ili turudi kikaoni Kwa mara nyingine!!?
Kundi kwanza lipo sahihi
Unaikumbuka case ya Abdul JumbeHao wapiga ramli wanasahau kwamba Mwenyekiti wa CCM ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Endeleeni na ramli zenu.
Alikuwa Mwenyekiti wa CCM?. Wacha kulinganisha visivyolingana.Unaikumbuka case ya Abdul Jumbe
Kwamba anataka kuua muungano sio!!? Tumuweke pembeni hafai!!?kkwamba anauza Tanganyika na kuchochea chuki za wabara Ili tuukatae muungano si ndio!!?Unaikumbuka case ya Abdul Jumbe