Kwanini TCU wamefunga system ya udahili wanafunzi mapema?

Sijui kwanini watu husubiri deadline
 
wakuu kuna vyuo vimetoa 4th round waliochaguliwa mfano st.john asa hii inakuwaje 4th inatoka kabla ya deadline haijafka?
 
Mkuuu hao waliomba 3rd ko majina yao yaliwekwa bench kusubil 4th round
 
Ukiona inazingua kuadd program juwa umechaguliwa tayar fatilia vyuo ulivyojaza!
 
sijachaguliwa ila maajabu vyuo nlivoomba kabla ya deadline wametoa 4th round selected.hapo ndo sielewi how na cjachaguliwa
vigezo unavo dd na gpa ya 3 mana wapo walioomb uku awana sifa awajachaguliwa wahi nacte upewe diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…