Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huu ni uzoefu wangu siku zote utasikia jambo linaongelewa sana lkn ukija kuuliza ni nini hasa kinawafanya watu waache kila kitu na kuwekeza muda wao kwenye hilo jambo utakuta ni jambo la kipuuzi kabisa!
Kwa mfano ishu ya Bunge live sijawahi kuona jamii yoyote Dunia hii inapigania kuangalia TV muda wa kazi na kwamba tunapoteza muda kulijadili haya sasa hv kuna Makonda binafsi wala sielewi kosa kubwa alilofanya mpaka kutaka kuvunja Bunge ...
Kama Bunge lingegawanyika kwa sababu ya kupigania ajira, elimu, Miundo mbinu, Afya au hata ishu ya akiba ya chakula iliyojitokeza hapo ningeelewa lkn Makonda ndiyo avunje Bunge? Hivi huko mbele tutaandika Historia kusema tulivunja Bunge kumkomoa Makonda? Tuna matatizo ya Akili siyo bure!
Sasa ni kwa nini mambo yanayochukuwa muda wetu mwingi ni ya kipuuzi na hayaeleweki?