Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
KWANINI TANZANIA HAITAKI KUANZISHA MIRADI MIKUBWA
Ukiangalia miradi yote ya maendeleo ni midogo midogo ya zima moto karibia sect zote
1. Barabara: Toka uhuru serikali haijaweza kuwekeza ktk miradi mikubwa ya barabara, barabaraza ziote zinazo jengwa ni zima moto kuanzia dar es salaam hadi mikoani tofauti nan chi jirani ya kenya.
2. Umeme: Serikali haina mpaka sasa mradi wowote MKUBWA (mega project) kwenye secta hii, miradi yote ni kama ya dharura. Mfano mzuri wa uwekezaji wa secta hii ni Ethiopia ambayo mradi wake wa umeme utatosha kuwasha Africa mashariki yote.Hapo juu ni mfano tuu wa maeneo ambayo serikali inatakiwa kufikiria project kubwa ambazo zikisha kamilika zitaihamisha kabisa Tanzania kutoka ktk umaskini huu.
Kwa namna hiyo naishauri serikali ya magufuli, badala ya kukimbizana na kuridhishana eti kuchapa kazi, ikae chini ifikirie miradi mikubwa na yenye gharama iifanyie kazi kwa kipindi hiki cha miaka 10 mbayo haita hitaji marekebisho hata kwa miaka 50 ijayo.
Miradi hii mikubwa ijikite kwenye miundo mbinu pamoja na kuzalsiha watalaam wa ktk kila sekta , hii ndio siri kubwa iliyo fanya china kufika ilipo leo,