Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,352
- 108,031
how about the transparency on that bidding process for the 160 MW?Gezaulole, kuna 160MW ambazo bidding yake ilishapita...
Hizi zinazoongelewa ni rentals..ni 260MW kucurb hali ya ukame..hizi serikali imeombwa kuridhia kuagiza on rental..ni mobile fuel turbines..
Next qn pls ?
That was an international competitive bidding and was duly advertised..log into www.tanesco.co.tz it might still be there as it was advertised early last year!how about the transparency on that bidding process for the 160 MW?
r u sure sio mwana Costa rica kajipachika jina lingine? mie yangu macho...That was an international competitive bidding and was duly advertised..log into Welcome to TANESCO it might still be there as it was advertised early last year!
tukiweza kuondoa ufisadi huu katika kufanya procurement excercise as only a formality na si a strictly and diligently adhered excercise as a principle! ndio giza litatuondoka! sidhani kama kuna jipya hapo... we subiri maajabu yanayofuata kama huo umeme hutakuwa over-priced basi zitaletwa mashine kuukuu!Hapo sina jawabu ila kuhusu kufuata ppra procedures ndio zilifuatwa, sina uhakika kama tender imekuwa evaluated...ila kwa vile mnunuzi ni serikali..maybe...Mh Ngeleja akiileta mapema hii..kdg kelele zitatuama..kidoogo...
Du haya maswala ya TANESCO yamefika mwisho tuingojee Kamati ya Makamba inayoenda Mtera kesho mana km hakuna ufisadi tatizo hili la mgawo wa masika litaisha. Jumamosi ijayo jb litapatikana kwani lei wamekataa lunch ya kila mjumbe 1mThat was an international competitive bidding and was duly advertised..log into Welcome to TANESCO it might still be there as it was advertised early last year!
Hebu tujiulize Bw. Felichism Mramba na Bi Badra Masoud wanatuambia mgao wa umeme utaisha kwa kudra za Mungu, wakati huo huo wanasema wameagiza/wako njiani kununua majenereta ya kutengeneza umeme! na vilevile wamenunua mafuta ya kuziendesha mashine za IPTL! sasa jiulize ni lini walitangaza tenda za kununua majenereta hayo kwa uwazi? na ni lini walitangaza tenda za procurement ya mafuta hayo?
Kwa mwendo huu bila bidding process tutaendelea kuumia kila siku ukiangalia vizuri waliopata hizo tenda watakuwa walewale ila majina ya kampuni yao yatakuwa yamebadilika! Watanzania tuamke na tuwe tayari kuhoji hayo manunuzi yamefanyika kivipi? na kama ni kwa manufaa ya TANESCO na nchi kiujumla yaani watumiaji umeme na uchumi wa nchi hii!

That was an international competitive bidding and was duly advertised..log into Welcome to TANESCO it might still be there as it was advertised early last year!
Jamani, sheria ya manunuzi hairuhusu kutangazwa kwa zabuni yoyote kwenye chombo kimoja ambacho sio kila mtu hawezi kupata habari. Kwa mfano huwezi kutangaza kwenye gazeti kama Nyota amabalo halipatikani mikoa yote ya nchi. Au utangaze tenda kwenye gazeti la jumapili, ambapo watu wengi watakuwa hawalisomi. Ni lazima kuwe na uwazi, na hata kama kuna uharaka then tendering period itakufupishwa badala ya miezi mitatu itakuwa mwezi mmoja but huwezi kuruhusiwa kuufanya kwa usiri, uwazi unabaki pale pale. Tatizo TANESCO ufisadi umezidi, kwani hatujui MD wenu aliwahi kuhusishwa na rushwa alipokuwa Mbeya???????????