Kwanini simwogopi Rais Magufuli

Sisi waafrika hatutaendelea mpaka tujue thamani ya muda. Thamani ya muda ni tofauti na thamani ya watu.
Dunia haijawahi ishiwa wema na waovu, wajinga na werevu, wenye hekima na wapumbavu nyakati zote.

Mazoea ya kuvumilia shida ndo maana kila baada ya miaka mitano tunajaza viongozi wasio na dira kwa sababu ni watu tunawapenda. .

Viongozi hubadili mstakabali wa maisha ya wengi.

Kuishi kwenye kubahatisha miaka ni hatari.

Hii ya kusema tusiogope maana yake tumempa yeye nafasi ya kujiamulia wakati nchi ni yetu.

Yeye ndo anatakiwa aogope kukaa chini ya muda anaotamani na si sisi.

Tunatakiwa kuchagua. Ni wajibu wetu.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna Rais sahihi hata watu wakubali wakatae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu emeandika mambo ya msingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KHAAAAA PAMOJA NA KWAMBA KILIKUJA KWA MELI ILA SI KWA CHIJENGEREZA HICHI TUMIA LUGHA YA TAIFA NDUGU
 
Nia ya kutawala zaidi ya 2025 hawezi kuwa nayo na hata kama atakuwa nayo bhac itaota mbawa pale 2025. Kwa kifupi angeweza kuendelea baada 2025 kama angekuwa nchi zingine huko duniani ila sio TZ.

Naamini wanao muogopa ni waovu, kama uko sahihi unaanzaje kumuogopa labda kwa mfano!!
 
Rais ni melancole.?kwa sifa zipi Alison azo. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…