Mwisho kabisa, Rais ni melancole (hii ni Aina ya watu ambao wakielewa jambo hawaachii mpaka yesu arudi, liwe jema au baya).
Wananchi wanaogopa kukutwa kwenye viroba wanaelea kwenye maji wakiwa maiti
Melancholy anayeogopa argument na muoga wa open debates? Mtoa maada hajielewi na hajui ku assess personality.Hili limefuta kila kitu ulichoandika kama ushahidi wa mada yako.
Sijui kama ulilielewa hivyo!
Na yote kwa ujumla wake kwa kweli umeyatumia kinyumenyume, sababu inayonifanya nifikiri kwamba maana yako ni kinyume na hayo unayoyatarajia.
BTW.: kuna neno 'melancholy' na sio 'melancole'; lakini hata hiyo melancholy, haina maana uliyoikusudia katika sifa hizo ulizotaka awe nazo Magufuli.
Kuna hofu isiyokuwa na msingi imetanda Kwa baadhi ya wananchi Kwa Sasa, wengi wamejawa na hofu hasa juu ya mustakabari Wa taifa letu.
Watu wengi hawaamini kama Rais atatoka madarakani.
Tuseme Mimi sio kiumbe cha ajabu niijuaye kesho ,lakin nina sababu hizi za kutomuogopa Rais bali namheshimu tu.
1. Umri wake ni zaidi ya miaka 60,na Kwa maisha ya binadamu Wa Dunia ya Sasa hata asipotoka madarakani, miaka 30 ijayo atakuwa amekwisha fariki au mzee sana asiyeweza kutawala.
2. Rais hana vizazi pandikizi,hapa naweka sawa, marais wengi wenye chembe za kutawala milele hua Wana watoto wao Wa damu wanao waandaa kuja kurithi endapo Israel atawaita, kwetu Hali sio hivyo,hawa wasaidiz wake hawana legitimacy ya kumrithi.
3. Aina ya siasa za Rais sio siasa za kudumu madarakani Kwa muda mrefu ,he is getting the business done na anaendelea na safari zake.
Note: Kwa wataalamu Wa linguistic, mtanielewa, ukisikiliza speech za Mhe Rais utaiona hofu kubwa ya kusalia madarakani ,utaona ni mtu ambaye hana mizizi ya kutawala kidictator. Hata kama akitaka kuwa Rais Wa milele hataweza Kwa Kua hana DNA hizo.
Kumbuka unaweza kupenda sana mpira Wa kikapu lakin usiweze kuucheza.
Mwisho kabisa, Rais ni melancole (hii ni Aina ya watu ambao wakielewa jambo hawaachii mpaka yesu arudi, liwe jema au baya).
Chukia diss na lalamika, Rais hatatawala beyond 2025.
Hana sifa za iron men kama Putin, Maduro, Mueveni etc
Hahahahaahaaa ,mkuu ni mseven sorry nilichapiaMkuu naomba msaada tafadhali, nimejaribu kum-google huyu mtu/rais Mueveni hapatikani. Nilitaka nisome sifa zake tu nimjue ni mtu wa namna gani.
Kwa mfano sasa akikaa miaka 20 atakuwa ameturudisha nyuma kiasi gani au muda kwako sio ishu?Kuna hofu isiyokuwa na msingi imetanda Kwa baadhi ya wananchi Kwa Sasa, wengi wamejawa na hofu hasa juu ya mustakabari Wa taifa letu.
Watu wengi hawaamini kama Rais atatoka madarakani.
Tuseme Mimi sio kiumbe cha ajabu niijuaye kesho ,lakin nina sababu hizi za kutomuogopa Rais bali namheshimu tu.
1. Umri wake ni zaidi ya miaka 60,na Kwa maisha ya binadamu Wa Dunia ya Sasa hata asipotoka madarakani, miaka 30 ijayo atakuwa amekwisha fariki au mzee sana asiyeweza kutawala.
2. Rais hana vizazi pandikizi,hapa naweka sawa, marais wengi wenye chembe za kutawala milele hua Wana watoto wao Wa damu wanao waandaa kuja kurithi endapo Israel atawaita, kwetu Hali sio hivyo,hawa wasaidiz wake hawana legitimacy ya kumrithi.
3. Aina ya siasa za Rais sio siasa za kudumu madarakani Kwa muda mrefu ,he is getting the business done na anaendelea na safari zake.
Note: Kwa wataalamu Wa linguistic, mtanielewa, ukisikiliza speech za Mhe Rais utaiona hofu kubwa ya kusalia madarakani ,utaona ni mtu ambaye hana mizizi ya kutawala kidictator. Hata kama akitaka kuwa Rais Wa milele hataweza Kwa Kua hana DNA hizo.
Kumbuka unaweza kupenda sana mpira Wa kikapu lakin usiweze kuucheza.
Mwisho kabisa, Rais ni melancole (hii ni Aina ya watu ambao wakielewa jambo hawaachii mpaka yesu arudi, liwe jema au baya).
Chukia diss na lalamika, Rais hatatawala beyond 2025.
Hana sifa za iron men kama Putin, Maduro, Museveni etc
Hili LA kufa baada ya miaka 30 toka Leo limenivutia zaidiKuna hofu isiyokuwa na msingi imetanda Kwa baadhi ya wananchi Kwa Sasa, wengi wamejawa na hofu hasa juu ya mustakabari Wa taifa letu.
Watu wengi hawaamini kama Rais atatoka madarakani.
Tuseme Mimi sio kiumbe cha ajabu niijuaye kesho ,lakin nina sababu hizi za kutomuogopa Rais bali namheshimu tu.
1. Umri wake ni zaidi ya miaka 60,na Kwa maisha ya binadamu Wa Dunia ya Sasa hata asipotoka madarakani, miaka 30 ijayo atakuwa amekwisha fariki au mzee sana asiyeweza kutawala.
2. Rais hana vizazi pandikizi,hapa naweka sawa, marais wengi wenye chembe za kutawala milele hua Wana watoto wao Wa damu wanao waandaa kuja kurithi endapo Israel atawaita, kwetu Hali sio hivyo,hawa wasaidiz wake hawana legitimacy ya kumrithi.
3. Aina ya siasa za Rais sio siasa za kudumu madarakani Kwa muda mrefu ,he is getting the business done na anaendelea na safari zake.
Note: Kwa wataalamu Wa linguistic, mtanielewa, ukisikiliza speech za Mhe Rais utaiona hofu kubwa ya kusalia madarakani ,utaona ni mtu ambaye hana mizizi ya kutawala kidictator. Hata kama akitaka kuwa Rais Wa milele hataweza Kwa Kua hana DNA hizo.
Kumbuka unaweza kupenda sana mpira Wa kikapu lakin usiweze kuucheza.
Mwisho kabisa, Rais ni melancole (hii ni Aina ya watu ambao wakielewa jambo hawaachii mpaka yesu arudi, liwe jema au baya).
Chukia diss na lalamika, Rais hatatawala beyond 2025.
Hana sifa za iron men kama Putin, Maduro, Museveni etc
Dah! haya tusubiri kuona ujasiri wakeTuambie jina lako kamili, umri wako, jinsia, kazi na makazi yako kwa sasa. Kisha bandiko hili ulilete likiwa na hizo taarifa kisha tuanze kujadili