Kwanini serikali isitutangazie nafasi za kazi ya mkuu wa mkoa, wilaya na uwaziri?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,810
Hivi sifa za kuajiriwa serikalini ukiwa kama waziri,Mkuu wa mkoa na Mkuu wa wilaya ziko vipi ??

Hivi kwanini tusitengeneze system ya raisi anapoingia madarakani anatangaza nafasi ya kazi kama vile uwaziri , Mkuu wa mkoa na wilaya ili watu tuweze kutuma c.v ya kuomba ajira hizoo ??

Je ni kwanini tusitangaziwe izo ajira ili kila mtanzania wenye vigezo aombe hiyo nafasi na wale watakakosa watumie fursa ya kujiajiri kama tunavyoambiwaga vijana tujiajiri ?????
 
Unabahati niko nakula.. ungejuta kuuliza huu ujinga
Kaka mbona umepanic bana mi nimeuliza tuu kwa sababu nimejipima na nimeona nina kigezo cha kuajiriwa kama mtanzania nikiwa kama waziri au Mkuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom