Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Leo kwenye kipindi cha magazeti nimesikia serikali ina mpango wa kukopa kutoka kwenye mabenki ya hapa nchini baada ya serikali kushindwa Kupata mkopo kutoka kwenye mabenki ya nje.
Kuna maswali ningependa kujua:
1. Kwanini Serikali Ikope wakati inadai makusanyo ya kodi ilipanda kwa kiasi kikubwa toka iingie madarakani.
2. Je kwa hali ya kifedha za benki za hapa nchini zinauwezo wa kutoa mkopo huo.
3. Kama serikali imefanikwa kudhibiti matumizi ya fedha za serikali kwanini kuna upungufu wa fedha za bajeti.
Ni wakati muafaka kwa Waziri wa fedha kuwa wazi na kueleza umma nini kinachoendelea nyuma ya pazia kwenye uchumi wa Tanzania.