Inashangaza sana serikali ,viongozi wa dini na sisi watu wa kawaida kuendelea kuvumilia mambo ya huyu anayejiita nabiu tito,nashangaa media kupost mambo ya huyu jamaa ,hata kama serikali haina dini si mambo ya kuvumilia ayafanyayo huyu mtu,bila kujali itikadi za kidini sasa huyu bwana ana tatizo la kiakili lakini kwa nini asipelekwe sehemu husika kwa ajili ya tiba?au kwa nini vyombo husika vusipige marufuku huyu jamaa,kama tunaheshimu tamaduni,imani ,na nidhamu huyu mtu kwa nini aachwe? Shame kqa taifa lililostaarabika