Kwanini Saido alishindwa kuwaokoa Simba SC kwenye CAFCL?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?

Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions

NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua
1686328746024.jpg
 
Nadhani kama Wanasimba tujiulize ....kama magoli ya a saido siyo ya mchongo..... bahasha

Kwanini huyu mwamba wetu mzee saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions

Point of reference

Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa......na pale mjini CAF champions

NB: unapiga bomu mochwari unajisifu umeuaView attachment 2651548
Mashindano ya CAF yaliochezwa na Yanga na Simba ni klabu Bingwa.

Yanga hawakufika hata makundi
Simba walifika robo fainali.

Haya mashindano ya Shirikisho hayakuchezwa na Simba kwasababu hadhi ya mashindano ni ya chini ukishindwa klabu Bingwa ndio unaenda kidogo kwenye viwango vya chini.

Hivyo Mayele hakuwasaidia Yanga kwenye klabu Bingwa walitolewa mapema sana.
 
Swali zuri

Kafuatilie Mayele ana goali ngapi pale club bingwa

Then + plus na magoli ya confederation,.....unaweza pata jibu
Wewe Jamaa sijui akili zako huwa zinaenda wapi.Aliwafunga Zalan hatua ya awali, hatua ambayo hata ufunge goli 1000 hakuna anaeshtuka halafu Wewe unataka tuyahesabu mbaya zaidi Zalan ni Rhino rangers ya sudani.
 
Mashindano ya CAF yaliochezwa na Yanga na Simba ni klabu Bingwa.

Yanga hawakufika hata makundi
Simba walifika robo fainali.

Haya mashindano ya Shirikisho hayakuchezwa na Simba kwasababu hadhi ya mashindano ni ya chini ukishindwa klabu Bingwa ndio unaenda kidogo kwenye viwango vya chini.

Hivyo Mayele hakuwasaidia Yanga kwenye klabu Bingwa walitolewa mapema sana.
Ndo saido ashindwe hata kufikisha goali hata nne
 
Unadhani kule walikuwa wanacheza na timu zinazoshuka farajja kama mlizokutana nazo ninyi? Anyways, ngoja na mimi nikuulize swali, kwanini Mayele alishindwa kuwavusha hatua ya makundi mpaka mkatolewa na Al Hilal ya Sudan kwenye Club bingwa?
Lkn unajua kule alifunga magoli manga????
 
Nadhani kama Wanasimba tujiulize ....kama magoli ya a saido siyo ya mchongo..... bahasha

Kwanini huyu mwamba wetu mzee saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions

Point of reference

Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa......na pale mjini CAF champions

NB: unapiga bomu mochwari unajisifu umeuaView attachment 2651548
Aaahhh magoli ha mchongo kila mtu akipata mpira anampigia Saidoo kweli kutoka lengo kuwa Bingwa hadi kiatu ndio target team ....msimu mzima? Jamaa katia 5bil.....mnajigamba kwa kiatu Hahahaha kweli makolo mmeshikwa pabaya
 
Back
Top Bottom