Mada juu ya mada.
Mdogo wangu alipata three ya 23 ila selection zilizotoka, kapangiwa kusomea ualimu wa awali ngazi ya cheti chuo cha ualimu KABANGA-KASULU.Nimecheki joining instruction ya chuo kuna gharama kubwa sana za mahitaji+ ada.
Sasa nmeamua kuchenji gia angani ili kumsaidia dogo, nataka nimpeleke advance badala ya kwenda kusomea huo ualimu wa awali.
Je, nipo 'sawia'