Kwanini nimechaguliwa HGE. ?

Labda io D ya hesabu na physics
ilikua inakubania kwenye PCB..lakini apo ata CBG wangekua wamekuchagua,

Anyway fatilia shule uliochaguliwa kama ina mchepuo wa CBG au PCB na utaratibu wa kuhama ukoje

Na kama wataka kuja kusomea afya baadae usisome CBG..

Kama unamalengo mapana ya kufanikiwa na ya kibiashara bila kuajiriwa HGE iko bomba,ni zaidi ya CBG kimaslahi kwa sasa..

Pia kama unamalengo ya kusomea afya,waweza anza ata taratibu..hata kwa kuanza na diploma
 
Mpeleke chuo, advance ni kupoteza muda
 
Huwezi chaguliwa pcb ili hali una D ya physics.
Follow what your heart says.
 
Wanaenda certificate mkuu basi tu naona wanachanganya changanya mambo
Diploma ni kwa yule alietoka form six au aliemaliza certificate
mmekutana wote hamjui halafu mnaelekezana njia. mm nilipomaliza f4 nilichaguliwa direct dip pale arusha tech
 
Nakupongeza mpaka saiz, you know where you are good at, komaa na unachokipenda kwa sababu hutakuja kujuta kabisa
 
Vp mkuu, pole na majukumu, hivi Kati ya ORDINARY DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES na TECHNICAL CERTIFICATE IN PHARMACEUTICAL SCIENCES kipi bora kusoma ni hizi kozi Zina utofauti gani. Nawakilisha
Bora ni hiyo DIPLOMA IN PHARMACY...kwa kuwa hii ni level ya juu na Mshahara ni mkubwa.


Hiyo Certificate in Pharmaceutical ni level ya chini, yaani huyu wa Certificate akijiendeleza kielimu ndo anakuja kupata hiyo Diploma.


Nb; Chain ya events huwa hivi kwa Taaluma zote...

Certificate----Diploma-----Degree----Masters----(())
 
Wewe hiyo D ya Physics huioni? na hako ka Mathematics? Unastahili na utafanya vizuri sana!
 
Hata kama haupo sawa mkuu Hela ndo inaamua hapo[emoji22]
 
Wewe hiyo D ya Physics huioni? na hako ka Mathematics? Unastahili na utafanya vizuri sana!


Namaanisha wangenichagua hata CBG ambayo niliiorodhesha kwenye machaguo yangu.
 
am I missing a point here..... siku hizi ukitoka form four unaenda Dip??
Hakuna kitu kama hicho! ila vyuo vingi ukianza tu Certificate wanakuita Diploma mwaka wa kwanza urongo mtupu!! Ili wawe na hakika ya ADA yako kwa miaka mitatu
 
Kiongozi hukwenda Diploma moja kwa moja! ulisoma Certificate mwaka mmoja halafu ndio ukaiingia Diploma kwa hiyo miaka miwili na kwa vile hukuwa umefali somo lolote!!
 
Kiongozi hukwenda Diploma moja kwa moja! ulisoma Certificate mwaka mmoja halafu ndio ukaiingia Diploma kwa hiyo miaka miwili na kwa vile hukuwa umefali somo lolote!!
Hicho kitu ktk college za ufundi hakipo yaani DIT,MIST,ATC,Ubungo maji. Labda vyuo vya biashara
 
Shukran man, Sasa vp kama kupiga hyo diploma ni miaka mitatu ada kwa mwaka inakua ngapi kwa serikali na private
 
pcb ndio wanafundiasha IT na Computer Eng
 
Ndiyo, kutegemeana na pass zako na fani unayotaka.
Sio kweli! hata kama una A's au D's umeamua kwenda Chuo chochote Utaanza na Certificate (NTA 4) mwaka mmoja, umefaulu masomo yote unaendelea Diploma (NTA 5-6) miaka miwili, umefaulu masomo yote sasa unaomba tena degree; Kama ni Chuo hicho hicho ukapata nafasi unaendelea Higher Diploma (NTA 7) miaka miwili!! ukifaulu unaingia degree (NTA 8) mwaka mmoja!!! Kubali kata ndivyo hivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…