Nilipata div 2 ya 18 yaani:-
CIV - 'B'
HIST - 'B'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'C' B/MATH - 'D'
Niliweka PCB ya kwanza na ya pili na zilizofuata niliweka CBG zote. Lakni nashangaa nimechaguliwa HGE. Naona ni bora tu nikasomee IT au computer engineering kwasababu ipo moyoni na pia nina ujanja janja wa kurekebisha simu na computer upande wa software, yaani kuflash, kutoa FRP n.k. Nyie mnanishauri vipi wakuu.
Umechaguliwa shule gani?Nilipata div 2 ya 18 yaani:-
CIV - 'B'
HIST - 'B'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'C' B/MATH - 'D'
Niliweka PCB ya kwanza na ya pili na zilizofuata niliweka CBG zote. Lakni nashangaa nimechaguliwa HGE. Naona ni bora tu nikasomee IT au computer engineering kwasababu ipo moyoni na pia nina ujanja janja wa kurekebisha simu na computer upande wa software, yaani kuflash, kutoa FRP n.k. Nyie mnanishauri vipi wakuu.
Yaani achana na ADVANCE...UTAKUJA JUTA KWA MUDA UTAKAOPOTEZA...SHUKURU ALLAH HUJACHAGULIWA HAYO...MAANA UNGEANGUKIA PUA UNGECHAGULIWA...NENDA ZAKO DIT AU NIT AU MUST UKAENDELEZE FANI...UKIMALIZA KAZI NJE NJE...Mi nakushauri kama kweli una uzoefu na kucheza na vifaa bora ukaanze diploma ya engineering ya mambo ayo....kwasab mwishowe utapitia advance na kupoteza muda wako tu
Umechaguliwa shule gani?
Hiyo shule inaweza kuwa na mchepuo wa CBG ili ukifika ubadilishe?
Kuna taratibu ya kuhama shule pia.
Wazazi wanaweza kukusomesha Private?
Option nyingine; unaweza kuomba vyuo vinavyotoa Diploma ya Afya (MUHIMBILI,KCMC,BUGANDO na vingine vya Serikali na Binafsi).
Comb gan?Mada juu ya mada.
Mdogo wangu alipata three ya 23 ila selection zilizotoka, kapangiwa kusomea ualimu wa awali ngazi ya cheti chuo cha ualimu KABANGA-KASULU.Nimecheki joining instruction ya chuo kuna gharama kubwa sana za mahitaji+ ada.
Sasa nmeamua kuchenji gia angani ili kumsaidia dogo, nataka nimpeleke advance badala ya kwenda kusomea huo ualimu wa awali.
Je, nipo 'sawia'
Pole sana kijana. huu ni upungufu mkubwa uliopo tamisemi, wanapiga chapuo watoto wasome sayansi na kudai ndiyo yenye uhitaji kwasasa lkn ajabu mtoto anafaulu masomo ya sayansi, na kwenye self form alijaza sayansi tupu halafu mwisho anakuja kuchaguliwa arts ili aje kuhangaika tena kuambiwa hayana kipaumbele cha mkopo,ajira na blaah blaah nyingi. Hapo chakufanya kuna njia mbili kama nia yako ni kufika advance: kama unajimudu wewe au mzazi toa kopi results slip yako iambatanishe kwenye barua fika nayo tamisemi dodoma kuomba ubadilishiwe comb stahiki kwako kwasababu sifa za kusoma PCB unazo, au cheki matokeo ya form six mwaka jana 2018 ya hiyo shule uliyochaguliwa uone kama walikuwa na PCB ili ukifika uombe kuhama comb japo wakuu wa shule wengi wanagomea hili.Nilipata div 2 ya 18 yaani:-
CIV - 'B'
HIST - 'B'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'C' B/MATH - 'D'
Niliweka PCB ya kwanza na ya pili na zilizofuata niliweka CBG zote. Lakni nashangaa nimechaguliwa HGE. Naona ni bora tu nikasomee IT au computer engineering kwasababu ipo moyoni na pia nina ujanja janja wa kurekebisha simu na computer upande wa software, yaani kuflash, kutoa FRP n.k. Nyie mnanishauri vipi wakuu.
Vp mkuu, pole na majukumu, hivi Kati ya ORDINARY DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES na TECHNICAL CERTIFICATE IN PHARMACEUTICAL SCIENCES kipi bora kusoma ni hizi kozi Zina utofauti gani. NawakilishaUmechaguliwa shule gani?
Hiyo shule inaweza kuwa na mchepuo wa CBG ili ukifika ubadilishe?
Kuna taratibu ya kuhama shule pia.
Wazazi wanaweza kukusomesha Private?
Option nyingine; unaweza kuomba vyuo vinavyotoa Diploma ya Afya (MUHIMBILI,KCMC,BUGANDO na vingine vya Serikali na Binafsi).
Pole sana kijana. huu ni upungufu mkubwa uliopo tamisemi, wanapiga chapuo watoto wasome sayansi na kudai ndiyo yenye uhitaji kwasasa lkn ajabu mtoto anafaulu masomo ya sayansi, na kwenye self form alijaza sayansi tupu halafu mwisho anakuja kuchaguliwa arts ili aje kuhangaika tena kuambiwa hayana kipaumbele cha mkopo,ajira na blaah blaah nyingi. Hapo chakufanya kuna njia mbili kama nia yako ni kufika advance: kama unajimudu wewe au mzazi toa kopi results slip yako iambatanishe kwenye barua fika nayo tamisemi dodoma kuomba ubadilishiwe comb stahiki kwako kwasababu sifa za kusoma PCB unazo, au cheki matokeo ya form six mwaka jana 2018 ya hiyo shule uliyochaguliwa uone kama walikuwa na PCB ili ukifika uombe kuhama comb japo wakuu wa shule wengi wanagomea hili.
am I missing a point here..... siku hizi ukitoka form four unaenda Dip??
Mkuu unakosea. Kama mtu ana ufaulu mzuri anaenda Diploma moja kwa moja.Wanaenda certificate mkuu basi tu naona wanachanganya changanya mambo
Diploma ni kwa yule alietoka form six au aliemaliza certificate