Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,959
Kampeni za uchaguzi uliopita Ndugai alimpiga mwenzie mpaka akazimia. Ni kwa nini hawakumfunga na leo wanamfunga mbunge wa Kilombero? Hapo kuna u-CCM na u-CHADEMA nauona. Ni kosa gani kubwa alilifanya mbunge wa Kilombero mpaka afungwe na Ndugai kaachwa?
Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa
Tunapoelekea huko mbele hali itazidi kuwa mbaya na wananchi wanazidi kuchoka na hizi drama.
Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa
Tunapoelekea huko mbele hali itazidi kuwa mbaya na wananchi wanazidi kuchoka na hizi drama.