Kwanini ndani ya vyumba vya guest house kuna pakiti za kondom na station/CD za ngono?

Sijaona tofauti ya guest hizi na biashara ya madawa ya kulevya.
Maana athari ni zile zile.Unga unaenda kichwani huku kwenye Guest nyege zinakuja mapajani

Mtu akitoka hapo huna cha kumuambia anapokuta dem anazoa tu.

Ila utagundua kwamba ndani ya Guest hizo kuna machangu,ambao ukikolea wanaangalia mpango.

Halafu mime makini,guest hizi zinatabia ya kulink Cameras kwenye vyumba,sasa wewe ukiwa unakula uroda,basi camera yako insetiwa kwa mtu wa chumba cha pili na wa chumba cha pili inahamishwa chumba cha tatu.Sasa nyie mnaona kama Mandingo,kumbe ni nyie kwa nyie.
umenifurahisha ha ha ha ha unamjua hadi mandingo kwi kwi kwi kwi
 
Kaka umenikumbusha mbali. Mbagala kuna gesti self buku tano singo buku tatu hadi kesho ipo. sema tu hua wanasahau kufua au kubadili shuka. wateja hua wanapanga foleni kuwahi self. tembea uone
Maeneo gan hayo hapo lazma uondoke na kunguni au ugonjwa wa ngozi
 
Back
Top Bottom