Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Haahah mgonnjwa na KY !!!? Acha kumuombea mabaya mwanaume mwenzakoNi tatizo ndio! Tuliza kiherehere kuna magonjwa na KY
Oa mke wako utulie
Wow,contentful messageKeep on.The world needs people like you too.
Kuna mdada alikuwa depressed kwakutokutongozwa for almost a year.So endelea tu.Kati ya unaowatongoza kuna unaowapa furaha na confidence.
On the other side of the coin,Imagine mwanamke anayejipendekeza na kuomba namba za wanaume.Lazima atakuwa portrayed Kama Malaya.
So na wewe too much of what you are doing ni umalaya tu.Haujali reputation yako at all.
So,tongoza wanawake ndio.Ila acha sifa za kitoto.Be smart.Wanaume unaowahadithia upuuzi wako,ndio haohao utakuja kuwatambulisha your future wife to.They can use what they know about you against you anytime they want.Be a smart man.
Kuna kimoja anakitafuta hapo. Au anaweza kuvipata vyoteHaahah mgonnjwa na KY !!!? Acha kumuombea mabaya mwanaume mwenzako
Hahahha noted mkuuUko vzr, ila, umefanya kosa kusema hapa ukumbini. Ki kawaida wanawake hawawezi kusema juu ya wanavyojisikia kimahusiano. Kisaikolojia ukikaa nae muda mrefu bila kumwambia kapendeza, cute, amazing smile, na maneno mengine kama hayo pamoja na kuonyesha unamwitaji hupata inferiority complex. Siku nyingine usiseme, unaweza ukakosa mke
Umenielewa vibaya mkuuKuwa mwangalifu usije ukatongoza dada zako wa damu kwakuwa kwa maelezo yako yaonekana unachojali ww ni ile tu kwamba ilimradi mwanamke ana lile tundu bas
Nafanya ngono salama mkuuUkiona hivyo ujue mda sio mrefu ARV zitakuwa sehemu ya maisha yako
Two times so farUmepima UKIMWI kabla hiyo fun haijawa funny?