Mkuu umeuliza maswali manitowoc sana ila humu kuna watu kama akina GENTAMYCINE washapewa mrungula kutwa kucha wanakesha wanatetea utapeli wa MoKuna mambo nayafikiria, yananifanya nisiamini kuwa Manara amekosea ktk hili sakata.
Je ile tume sijui shirikisho la ushindani wa kimasoko/hisa lilikosea kuhoji uwekezaji wa Mo? Walikosea kuuliza Mo amekuwaje Mwenyekiti wa Simba? Yote yale waliyozungumza walikosea?
Tuachane na ile tume, vipi kuhusu Kigwangala? Aliwahi kuhoji mengi mno kuhusu uwekezaji wa Mo Simba.
Twende mbele turudi nyuma, tuweke shahada zetu na stashahada zetu mifukoni, tujadili hili. Simba imeperfom vyema michuano ya kimataifa na ndani pia. Ni kweli Simba imeendeshwa kwa hasara?
Yanga ambayo haina makombe, haijacheza michuano ya nje n.k imeweza tengeneza faida, sembuse Simba ambayo inapeak sana muda huu kuliko timu yoyote East Afrika?
Wakuu embu tuwekeni ushabiki pembeni na tuwe wawazi na wakweli ktk hili.
Matajiri wanawababaisha watu wanaotoka shamba..
Ukiona mtoto wa mjini anaitisha Press Conference na anamshambulia tajiri wazi wazi bila woga na jina anamtaja ujue tayari
Tajiri kaingia kuminane .
Atashinda kwa lipi?Tukubali Manara kuna level alishafika huwezi kummaliza kirahisirahisi bila kupasua club. Kudeal na mtu kama Manara ni rahisi sana ila si kwa kumuundia skendo mbuzi.
Kitakachotokea ni kuvurugana na kutoaminiana na hapo mwisho wake ni MO kujitoa.
Kwa ufupi bila suluhu Simba haitobakia kama ilivyokuwa maana MO mwenyewe hana ngozi ngumu! Kama viongozi wa Simba wangeweza kufocus kwenye malengo yao na kuachana na kelele za Manara tungetoboa lakini sio hilo likitokea zaidi ya malumbano ambayo Haji atashinda tu.
Nasikia eti anataka kujiudhuru!!kwani watu hawaoni mazuri anayoyafanya!!yaani huyu ni mtu wa ajabu akitokea tu mtu, kusema kuwa kuna mambo hayako sawa, yeye anakimbilia kutishia kujiudhuru?!!Mo a.k.a Mwamedi, kaifanya Simba klabu ya ukoo wake
Nasikia mudy ametishia kujiudhuru huko!!kisa makombola ya mtoto wa mujini!!Huyo manara Mbona analia alindwe na serikali? Kayachezea anaogopa kuyaoga
Umesikia wapi?Nasikia mudy ametishia kujiudhuru huko!!kisa makombola ya mtoto wa mujini!!
Mbona hiyo habari ipo sana, mitandaoni ucku huu!!!Umesikia wapi?
Hahaaaaa!!!na ktk hesabu zake anazotoa ni kama simba haina chanzo cha mapato hata kimoja?!!!ukiuliza sana mashabiki lia lia wanakwambia hata aichuke bure tunachotaka ni furaha tu, hayajui kuwa anaweza akaitumia timu, akishaona tayari anawaachia timu yao!!wanarudi kule kule!!leo nasikia anataka kujiudhuru eti watu hawana shukrani!!!Yan hii ina matangazo ya mo hadi jina mchezaji ulioni halafu anadai anapata hasara!
View attachment 1880274
Hakuna wa kumjibu, alianza kabla ya Derby akajibiwa tuko busy na maandalizi ya mechi..Tena wakijiroga kumjibu ndo wataharibu kila kitu, wakae kimya simba isipoteane
Kwahiyo ni habari ya mtandaoni, na sio kwenye vyanzo vyovyote vya uhakika nawe umeibeba kidedea?Mbona hiyo habari ipo sana, mitandaoni ucku huu!!!
Wewe unaumia nini kwa utapeli wa Mo pale Simba?Mkuu umeuliza maswali manitowoc sana ila humu kuna watu kama akina GENTAMYCINE washapewa mrungula kutwa kucha wanakesha wanatetea utapeli wa Mo
Naumia kwa sababu wajinga wanaliwa kiboya na mimi naangalia na sina la kufanyaWewe unaumia nini kwa utapeli wa Mo pale Simba?
Hahaha yule jamaa ana power sana sanaNlikuwa kariakoo leo aisee kumechafuka.manara ana watu
Utawaweza WANA UTOPOLO!!!!?Kwahiyo ni habari ya mtandaoni, na sio kwenye vyanzo vyovyote vya uhakika nawe umeibeba kidedea?
Wanaliwa nini?Naumia kwa sababu wajinga wanaliwa kiboya na mimi naangalia na sina la kufanya
Babrbra yeye qyupi la Mo nothing moreUsimsahau Barbra, ilifaa useme Mo na Barbra hawatomuweza Manara