Kama Hailer kalipa 1.5b kuitangaza bidhaa zake kwenye jezi za Yanga kwa muda mfupi sana wa mashindano TU ya CAF je yeye kwa miaka 6 yote matangazo ya bidhaa zake yako kwenye jezi za Simba ingestahili kulipa ngapi?Duniani hayupo anayefanya biashara ya hasara kisha akaendelea nayo tena kwa kuing'ang'ania kama gundi kwenye mbao.
Huyo Mo ni muongo kama waongo wengine, kama anaona hasara awaachie wengine.
Kwenye jezi ya Simba kuna mabango ya Mo zaidi ya matatu, hebu atoke hadharani aseme mabango hayo ameilipa Simba bei gani kisha atuambie asingetumia jezi ya Simba kutangaza biashara zake huko kwenye media angelipa kiasi gani?
Wajinga ndiyo wanakubaliana na yeye, ila werevu hilo hatulikubali abadani.Kama Hailer kalipa 1.5b kuitangaza bidhaa zake kwenye jezi za Yanga kwa muda mfupi sana wa mashindano TU ya CAF je yeye kwa miaka 6 yote matangazo ya bidhaa zake yako kwenye jezi za Simba ingestahili kulipa ngapi?
sisi simba tunahitaji chama atupe furaha tu mihasara hiyo atajijua mwenyewe!Kama Hailer kalipa 1.5b kuitangaza bidhaa zake kwenye jezi za Yanga kwa muda mfupi sana wa mashindano TU ya CAF je yeye kwa miaka 6 yote matangazo ya bidhaa zake yako kwenye jezi za Simba ingestahili kulipa ngapi?
Tueleze kwanza thamani ya x kwenye hesabu hii hii ifuatayo: kama m-bet analipa 3b kwa mwaka kwa tangazo moja TU kwenye jezi, je, matangazo 5 ya mo kwa miaka 6 ni bei ngapi?Kifedha kwake ni hasara siwezi mbishia maana hakuna ata mmoja wetu aliyeona vitabu vya kumbukumbu za pesa zake zinavyotoka na kuingia kwenda simba.
Yuko sawa.
mo hapendi!Kama inapata hasara mbona hawakutafuta mdhamini kwwnye haya mashindano ya CAF kwenye kutangaza bidhaa zake kwenye jezi za Simba upande wa kifuani mpaka tukaweka VISIT TANZANIA!
Wacheza kamari wanafanya biashara ya hasara wakiamini ipo siku atabutua mbele ya safariDuniani hayupo anayefanya biashara ya hasara kisha akaendelea nayo tena kwa kuing'ang'ania kama gundi kwenye mbao.
Huyo Mo ni muongo kama waongo wengine...
Sasa kama hakuna aliyewahi ona vitabu utakubalije kuwa anapata hasara??Kifedha kwake ni hasara siwezi mbishia maana hakuna ata mmoja wetu aliyeona vitabu vya kumbukumbu za pesa zake zinavyotoka na kuingia kwenda simba.
Yuko sawa.
Sasa kama hakuna aliyewahi ona vitabu utakubalije kuwa anapata hasara??
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kila Simba inapoingia robo finali mashindo ya CAF Tajiri Mohamed Dewj anajitokeza hazarani kudai anapata hasara kwelikweli kwa kuidhamini Simba...