Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Wakuu.
Mnyama nguruwe (aka kitimoto, mdudu, cake nk) ni mnyama pendwa sana kwangu, kuanzia muonekano wake, lisauti lake la besi, tafuna yake anapokula na hatimae nyama yake. Mm huwa napendelea sana nyama yake ikichomwa taaratibu.
Sasa kuna baadhi ya watu wanamsema vibaya mnyama nguruwe.Mara mchafu, mara mla ovyo, mara haramu, mara ana-bleed , mara ananuka nk nk.Hawa wanaomsema vibaya mnyama huyu, huwa wamemuonja kweli na kuona 'kautamu' kake au wanaongelea hisia au ushabiki tu?
Huwezi ukakisema kitu vibaya kama hakijakukosea, siyo vizuri sana.
Kwann tunamuandama mnyama nguruwe kiasi cha kumkashifu?