Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
We jamaa ni kiazi sana kwan unashiriki kwa kupendaMashindano ya Chan ambayo ni mashindano yanayohusisha wachezaji wnaocheza ligi za ndani kwa nchi za Africa
Kwa nchi za Africa Misri ndio nchi yenye ligi yenye ubora kwa miaka mingi
Lakini cha ajabu hawashiriki mashindano haya, ambayo wangefanya vizuri sana kama wangeshiriki kutokana na ubora wa ligi yao
Je wameona mashindano haya sio ya kiwango chao na ni kupoteza muda kushindana?
Hawajawahi kufuzu tangia yaanzishweHawakutimiza vigezo vya ushiriki.
Hawakutimiza vigezo vya ushiriki.
sio hawashiriki hawaku qualify,haya mashindano sio unakuja tu kucheza ni lazima u qualify michezo ya awaliMashindano ya Chan ambayo ni mashindano yanayohusisha wachezaji wnaocheza ligi za ndani kwa nchi za Africa
Kwa nchi za Africa Misri ndio nchi yenye ligi yenye ubora kwa miaka mingi
Lakini cha ajabu hawashiriki mashindano haya, ambayo wangefanya vizuri sana kama wangeshiriki kutokana na ubora wa ligi yao
Je wameona mashindano haya sio ya kiwango chao na ni kupoteza muda kushindana?
sio hawashiriki hawaku qualify,haya mashindano sio unakuja tu kucheza ni lazima u qualify michezo ya awali
sio hawashiriki hawaku qualify,haya mashindano sio unakuja tu kucheza ni lazima u qualify michezo ya awali
hapana huwa wanapelaka timu dhaifu inatolewaMiaka yote haya mashindano misri huwa ha qualify
Inaonekana kama anagoma kwa makusudi
Uwezo mdogo.Miaka yote haya mashindano misri huwa ha qualify
Inaonekana kama anagoma kwa makusudi
Uwezo mdogo.
kwenye chan misri ilipeleka timu ya vijana sio hao wachezaji wa ahly unaowajua wewe,huwa hawaihusudu chan kabisaKama Uwezo mdogo mbona club zake za ndani ndio zinabeba makombe ya champions league kila mwaka?
Ni uongo kusema wachezaji wa al ahly na pyramids washindwe ku qualify haya mashindano, ila wachezaji wa yanga, gormahia, vipers na vilabu vidogo vingi africa waweze kuqualify.
Pia mbona ile AFCON ya wababe misri huwa ana qualify kila mwaka kwa wachezaji hao hao wa al ahly
Mzee hii ni Chan sio Afcon.Kama Uwezo mdogo mbona club zake za ndani ndio zinabeba makombe ya champions league kila mwaka?
Ni uongo kusema wachezaji wa al ahly na pyramids washindwe ku qualify haya mashindano, ila wachezaji wa yanga, gormahia, vipers na vilabu vidogo vingi africa waweze kuqualify.
Pia mbona ile AFCON ya wababe misri huwa ana qualify kila mwaka kwa wachezaji hao hao wa al ahly
Mzee hii ni Chan sio Afcon.
Unaweza kua na timu nzuri ya taifa ila wachezaji wako wote wanacheza nje ya taifa lako.
Vilabu vyako vinasajili wachezaji toka nje pia, si ajabu wa ndani sio wakali kivile.
Wewe unataka kutengeneza conspiracy theories za kiwaki tu. Unaamini Egypt hawezi shindwa as if ni miungu ya soka.
Ndio hawajafuzu sasa.Al ahly na pyramids zimejaa wamisri. Wageni wachache sana.
First eleven ya al ahly ina wamisri 9 na wageni wawili tu.
Timu nzima ya al ahly ukijumlisha mpaka wanaokaa benchi kuna wageni wanne tu
First eleven ya pyramids ina wamisri 8 pia.
Hapo bado sijataja wa bench piaView attachment 3446544
ha ha haaWe jamaa ni kiazi sana kwan unashiriki kwa kupenda
Ndio hawajafuzu sasa.
Japo sijataka kufatilia hizo first eleven zao ambazo bila shaka umedanganya.