Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 790
- Thread starter
-
- #21
Huwa siwapitii wote mkuu,kuna vigezo ambavyo nimeviweka so ni lazima mwanamke awe navyo ndo nimgegedeHuo ugonjwa unakutafuta mkuu kupitia agents ambao ni hao warembo so unaonekana una mvuto ili waje wenyewe jifunze kukataa... Sio lazima uwapitie wote. Nimewahi kuwa kweye situation kama yako so naelewa sio sifa mkuu.
Xmass Boy.
Sio majini mkuu ni binadamu kabisa believe meNi majini tu wala sio watu yanajifanya watu ili akili yako ibutuke
Uko hatarini maana siku wamekuja wengine usije lia
Sent using Jamii Forums mobile app
Haipo hiyo ndo nakuambia hayo ni majiniSio majini mkuu ni binadamu kabisa believe me
weka picha ya hao mademuNiweke picha nikigegeda au nikipewa mkwanja?ebu kuwa specific mkuu
Kupendwa laana na kuchukiwa je!
Kila girl akupende wewe bila kumtongoza una nini? Laana hiyo na kufa ni mapema tuKupendwa laana na kuchukiwa je!
Ok hapo nimekuelewa.Kila girl akupende wewe bila kumtongoza una nini? Laana hiyo na kufa ni mapema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikuganda ujue kazidiwa mautamu, endelea kulamba asaliOk hapo nimekuelewa.
Vip sasa na nikimgegeda mwanamke ananiganda kama ruba je nayo itakuwa ndo laana hiyo hiyo?
Hahaha sawa sawa kula nchi..Huwa siwapitii wote mkuu,kuna vigezo ambavyo nimeviweka so ni lazima mwanamke awe navyo ndo nimgegede
Please please please Bro lipia TANGAZOHabari zenu wanabodi.
Nimatumaini yangu mu-wazima wa afya njema.Naomba nijielekeze kwenye mada husika pasi na kuwachosha.
Kilichonifanya kujiuliza swali hilo hapo juu ni kutokana na mfululizo wa matukio kadhaa wa kadhaa ktk mahusiano yangu ya kimapenzi.
Nakumbuka tangu nianze mahusiano ya kimapenzi nikiwa shuleni huko hadi Leo hii,haijawah kutokea hata Mara moja
1. Mimi kupigwa kibuti na binti zaidi ya Mimi kuwatema tu wao na kuishia kutaka kujiua
2.Kuhonga wala kuombwa Pesa zaidi tu ya wao kunipa Mimi mkwanja
3.Sijawahi kutongoza binti wala mwanamke yeyote tangu nianze kugegeda zaidi ya wao kunianza mimi kunitaka kimapenzi
4.Kila ninayemgegenda nikitishia kumuacha tu lazima achukue maamuzi ya kutaka kujiua
5.Nikimgegeda binti lazima na mdogo wake nimle kama anae au rafiki yake(kumbuka hata wao hujileta wenyewe tu)
Sasa huwa najiuliza kwanini Mimi niko ivi?je hii ni laana au ngekewa? maana hata marafiki zangu huwa wananishangaa sana kwakweli.
Wanabodi,kuna mengi ya kushangaza kuhusu Mimi ktk mapenzi lkn kwa vile muda ni Mali naomba nikomee hapa kwa leo .
Karibuni kwa maoni yenu
Ndo lile lile tatizo mkuu la kupendwa na kuhongwa na wanawake bado linanisumbuaMpenda sifa!! Baada ya kutongozwa sana na wanawake pm leo umekuja tena na jipya!