Kwanini mchakato wa katiba hauna mashiko

davis sabayo

Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Minaona mchakato wa katiba hauta tengamaa kutokana siasa kushamili katika bunge la katiba
 
Tatizo ccm wanaamini ilani yao ya chama ndio inayofaa kutungia katiba si maoni ya wananchi ndio ukaona sarakasi zote hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…