Kwanini Marais huongezewa muda?

Upeo mdogo sana huu!
 
Raisi anayepaswa kukumbukwa sana ni mzee Mwinyi..nyie watoto wa juzi hamjui kitu..aliachiwa linchi masikini halina fedha..mzee wa watu kapigana sana..leo hii mtu aliyekuta nchi iko vizuri ndio apewe sifa..acheni unafiki
 
tuna tengeneza na tutarajie mwisho mbaya
 
Wachina Walifanya na wanafanya (Mao na Huyu wa sasa)

Wamarekani walifanya (Rooservert)

Chadema wanafanya (mwenyekiti wao mjenga chama hawajambadilisha mwaka wa ngapi sijui sasa)


Sis ni nani?
We zwazwa yule pimbi wenu leplofeselipumbu mbona mlimrudisha awe mwenyekiti.. humuoni unamuona Mbowe tu anaekuwasha makalio yako.. shuvbamitt shwain ww
 
Leo nimejaribu kusikiliza tuhutuba twake jukwaani huko Songwe hakika mpaka nimeona aibu mimi.
Nimejiuliza hivi hao wanaosema aongezewe muda wamepatwa na nini? Wamelishwa limbwata au ni wagonjwa wa akili?
Kiongozi ambaye hawezi kujieleza kwa mambo ya maana dakika kumi nzima bila kuingiza mambo ya ngono, mfumo dume au chuki za wazi?
Unashindwa kutofautisha kati yake na watu kama Lusinde au Msukuma!
Hivi ni nini kimelipata hilitaifa hadi mikutano ya ajabu namna hiyo wanashangilia wao na walio jukwaani?
Gone too low as a country!
 
nchi iko macho, katiba italindwa kwa nguvu zote, kama kuna rais alistahili kuongezewa muda basi ni Mkapa lakini hakuthubutu, endeleeni kumdanganya mzee wa watu.
 
Kutofanya liwalo lolote tukamwongezea mda wa kutawala kwa kuangalia eti katiba mara mini tukashindwa kuangalia makubwa aliyoyafanya na kuhitaji akaendelea na menhine zaidi kwa kuongezewa mda mwingine ni upumbavu.
 
Msimdanganye Mzee wa watu nyie waswahili hamna jema mwacheni amalize kipindi chake salama akapumzike na wajukuu zake Chato wakifuraishwa na tausi
 
Aliyekwambia miaka kumi NI Haki ya kizaliwa ni nani.? Hii mifumo imewekwa na watu na inaweza kubadilishwa wakati wowote watu hao hao wakiamua. Fullstop

Sawa tutabadilisha ila Magu akae pembeni kwanza.
 
Macho yetu kwenye utendaji sio uwezo wa kutoa hotuba. Wazuri wa kutoa hotuba ndio wabovu kiutendaji
 
Rubbish.Bichwa tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…