Dimple Jerry
Senior Member
- Dec 18, 2012
- 118
- 11
Mapenzi ndio almost kila kitu, kwa kiwango kikubwa binadamu tunawaza mapenzi, tunahangaika kila kukicha kwa ajili ya mapenzi, upo hapo ulipo kwa vile kuna watu waliwaza mapenzi na kuyatenda wewe ukapatikana, na leo hii na wewe unawaza mapenzi.
Kifupi sio mbaya kuwaza hivyo, lakini sio vema kuendekeza mapenzi.
Mapenzi dawa yake ni kufollow the wind and ku dance the tune. We nenda yanakokupelaka tu. Golden rule is Mpende Akupendae!!!!!!!!!1 Baaaaaaaaaaas! Ukijifanya rules maker utaaibikaje????????
ni kweli siyo vizur kuyaendekeza lakini inakuwaje kila leo mahusiano na ndoa zinavunjika na kwali hii kutakuwa na ndoa za kudumu kweli?
Sio mahusiano na ndoa zote huwa zinavunjika, ukitafuta ni kwa kiwango gani mahusiano na ndoa zinavunjika utakuta ni ndogo tu percentage wise, usiogope, mbona ndoa zipo nyingi zilizo imara na nyingine nyingi zinafungwa kila kukicha.
Kumbuka kufanya uchunguzi yakinifu kabla ya kuanza mahusiano kwa ajili ya ndoa, na uwe muwazi na mkweli daima katika mahusiano yenu na maisha yako kwa wakati huo, ndoa inajengwa katika misingi ya ukweli.
Kama una wito wa ndoa ni bora kuitikia wito wako huo, maana ndoa ni mpango wa Mungu kwa sisi wanadamu hapa duniani.
Mapenzi dawa yake ni kufollow the wind and ku dance the tune. We nenda yanakokupelaka tu. Golden rule is Mpende Akupendae!!!!!!!!!1 Baaaaaaaaaaas! Ukijifanya rules maker utaaibikaje????????
Imagine kama utapendwa na wengi, nawe pia ukawapenda pia, je ni sahihi pia kutumia hiyo Golden rule as per your suggestion?
ila kwangu mimi ni mara chache sana kukutana na mtu unayempenda nae anakupenda maana weng ni mapenz ya upande mmoja
Usikate tamaa ipo siku utakutana na mtu anayekupenda kwa moyo wa dhati kama unavyompenda wewe, mapenzi yanaanza taratibu na baada ya muda yanakolea, hivyo usiwe mwepesi wa kukata tamaa kabla penzi halijashika kasi.
hamna mapenzi ya kweli hapa ni mwendo wa kugegedana tuu
bila mu wazima wa afya,yangu jion ya leo nahitaji kueleweshwa hiv ni kwanini mapenz yamekuwa ni kitu kinachoumiza vichwa vya watu na kufanya mtu akae anawaza.Maana watu wengi ninaobahatika kuzungumza nao wanalalamikia mapenzi wakati wengine tunatafuta nafasi ya kuzama kwenye mapenzi,mwana MMU hii imekaaje?
Tusipotezeane mida hebu tueleze yaliyokukuta tu tujue moja.
Tusipotezeane mida hebu tueleze yaliyokukuta tu tujue moja.